Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHADHARI YA POLISI JUU ZA UGONJWA WA CORONA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar atoa tahadhari juu ya ugonjwa wa KIPINDUPINDU.

KIPINDUWMkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari  Ofisini kwake.

KIPINDUZMkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari  Ofisini kwake Wizara ya Afya juu tahadhari ya ukonjwa wa Kipindupindu hivyo amewashauri wananchi kununua chakula kilicho hifadhiwa vizuri ama chakula kimoto na kujiepusha kutumia juice zinazotengenezwa kienyeji. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar 

[ZANZIBAR]....

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI TANDAHIMBA WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Benaya Kapinga amewataka  wananchi kuchukua tahadhari na ugonjwa wa corona kwani Wilaya hii ipo mpakani

Akizungumza leo Wilayani hapa  Kapinga amesema kuwa wananchi  wanatakiwa kuacha kusalimiana kwa kushikana mikono ili kujikinga na Corona

Amesema kila mwananchi ahakikishe ana nawa mikono na maji tiririka  na sabuni ikiwa ni miongoni mwa hatua za awali za kujikinga

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya Antpas Swai amesema tayari  wametenga Zahanati ya mtegu kwa ajili ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI ARUSHA WAASWA KUONGEZA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).


Mratibu wa mtandao Habari za jamii za pembezoni(MAIPAC) Mussa Juma akiwa na Mkurugenzi wa taasisi ya CILAO, Odero Charles wakimkabidhi mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa Arusha,Claude Gwandu vifaa kinga dhidi ya Corona kwa waandishi wa habari lakini pia muongozo wa kufanyakazi kwa tahadhari kwa vyombo vya habari.

Na Vero Ignatus Arusha.

Waandishi wa habari mkoa wa Arusha, wametakiwa kuongeza tahadhari za kiafya katika kujikinga na maambukizi ya Covid -19 kwa kufuata maelekezo...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19)


Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanakula vyakula ambavyo vitalinda kinga zao za mwili.

Rai hiyo imetolewa hivi karibuni  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW) Ummy Mwalimu  wakati akizungumza na baadhi ya madereva wa kampuni mbalimbali za malori zinazosafirisha  mizigo nje ya nchi waliofika katika maabara...

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo aendelea kuelimisha wanarukwa juu ya ugonjwa wa Corona



Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiongea na Wananchi wa kijiji cha Majengo, Kata ya Majengo, Wilayani Nkasi juu ya Ugonjwa wa Covid-19

********************************

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo ameendelea kuwatahadharisha wananchi wa mkoa huo juu ya uwepo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid – 19) na kuwataka kuendelea kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pamoja na kufuata maelekezo yote ya wataalamu wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Ubalozi wa Marekani Tanzania waendelea kutoa tahadhari juu ya maambukizi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tahadhari mpya ya afya na kusisitiza kuwa hatari ya maambukizi ya virusi vya corona bado ipo juu jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA WASITISHWE NA JANGA LA CORONA, WAENDELEE KUCHAPA KAZI HUKU WAKIZINGATIA TU TAHADHARI ZOTE ZA KUJIKINGA NA UGONJWA HUO

Rais Dk. John Magufuli akitoa salam katika Ibada ya Jumapili, iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu la  Kanisa Katoliki la Dodoma. jijini Dodoma, leo.




DODOMA, Tanzania
Rais  Dk. John  Magufuli amewataka Watanzania kutotishwa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona, badala yake waendelee kufanya kazi kwa bidii na kujenga uchumi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huo kama zilivyotolewa na...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAPEWA ELIMU YA UELEWA JUU YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.
 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani