Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19)


Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanakula vyakula ambavyo vitalinda kinga zao za mwili.

Rai hiyo imetolewa hivi karibuni  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW) Ummy Mwalimu  wakati akizungumza na baadhi ya madereva wa kampuni mbalimbali za malori zinazosafirisha  mizigo nje ya nchi waliofika katika maabara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Madereva 4 wa malori kutoka Tanzania wakutwa na virusi hivyo Uganda

Wizara ya afya nchini Uganda imetangaza wagonjwa wanne wapya wa virusi vya corona na kufanya idadi ya wanaothirika na ugonjwa huo kufikia 79.

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAIPONGEZA SERIKALI DHIDI YA MAPAMBANO YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).

Kupongeza  juhudi za Serikali dhidi ya Mapambano ya Mlipuko wa Maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona

Itakumbukwa kuwa katikati ya mwezi Machi mwaka huu Serikali ilitangaza mapambano rasmi dhidi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona ambavyo hivi karibuni imekuwa ni janga kubwa duniani.
Serikali ilichukua uamuzi huo baada ya Tanzania kuanza kupata taarifa za uwepo wa wagonjwa wa maradhi hayo nchini na hivyo kuwataka Wananchi kuchukua tahadhari mbalimbali za kujikinga na...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Imewataka wanaouza Bidhaa za Kujikinga dhidi ya Covid-19, Kuuza kwa Bei iliyoko Sokoni


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu bidhaa za kujinga na Covid-19, ambapo baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakipandisha bei, Waziri amewataka waache hiyo tabia kabla ya kuchukuliwa hatua kali, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS. Dkt. Ngenya, na kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Ushindani (FCC), John Mduma katika mkutano na Waanshi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

 ========  ========  =======
Serikali kupitia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi madereva wa malori ya kubeba mizigo wanavyokumbwa na unyanyapaa

Maderava wa malori ya kubeba mizigo wamekuwa wakilalamika jinsi wanvyotengwa na raia wengine kwa hofu ya kwamba huenda wakawaambukiza virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Museveni atoa masharti ya kuwadhibiti madereva wa malori Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya ya kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI IMEWATAKA WANAOUZA BIDHAA ZA KUJIKINGA DHIDI YA CORONA-19, KUUZA KWA BEI ILIYOKO SOKONI

   Na. Mwandishi Wetu-MAELEZOSerikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto na Taasisi mbalimbali za Serikali imejipanga vyema kukabiliana na changamoto zinazohusiana na mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona (Covid-19).
Katika kuhakikisha changamoto hizo zinatatuliwa jana Waziri Innocent Bashungwa ametembelea viwanda vinavyozalisha sabuni na Vitakasa mikono vilivyoko Jijini Dar es Salaam kuangalia bei ya bidhaa hiyo na...

 

5 years ago

Michuzi

MADEREVA CHUKUENI TAHADHARI DHIDI YA CORONA


Na WAMJW- MBEYA.

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuwaasa madereva wa vyombo vya usafiri kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona.

Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Kitengo cha Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Anyitike Mwakitalima wakati wa uhamasishaji kwa wananchi wa kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya maambukizi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani