Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akothee: Msanii wa Kenya aliyepitia udereva ma3/taxi hadi kumiliki kampuni ya tour na nyumba za kupanga (Video)

Kwa msichana mwingine, kuachwa na mume aliyekuwa akimtegemea kwa kila kitu na kuachiwa watoto wadogo wanaohitaji kula na kwenda shule, kingekuwa chanzo cha kuamua kwenda kufanya kazi hatarishi ikiwemo kujiuza mwili wake. Hata hivyo, kwa Esther Akoth Kokeyo anayejulikana kwa jina la muziki kama Akothee, hali ilikuwa tofauti. “Nilipopata talaka niliona maisha yamenikatikia,” Akothee aliambia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kutoka ‘hausigeli’ hadi kumiliki maduka London (1)

Jina la Flora Lyimo au Mbuta Nanga limekuwa maarufu katika mitaa ya Oxford inayosifika kwa kuwa na wabunifu wakubwa duniani, jijini London nchini Uingereza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Taxi zasusia kumbeba msanii mweusi Australia

Msanii nguli raia wa Australia al maarufu ''Uncle'' amekiri kuwa amebaguliwa mara nyingi tu hata na madereva wa teksi wanaokataa kumbeba.

 

9 years ago

Mtanzania

Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi

Msanii na FISI...NA TWALAD SALUM, MISUNGWI

MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, imemhukumu msanii wa ngoma za asili, Mng’ahwa Kazanza (42), kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kumiliki fisi wawili na kuwatumia kwenye sanaa zake bila kibali.

Awali akisomewa mashtaka katika mahakama hiyo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Doroth Mgenyi, ilielezwa mahakamani hapo kuwa mnamo Septemba 28, mwaka huu, kwenye Kijiji cha Sisu wilayani Misungwi, majira ya saa 7:30 mchana, Mng’ahwa Kazanza (42)...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI KUDHAMINI UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA MSANII “LINAH"

Meneja wa Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Estelina Sanga maarufu kwa jina la “Linah”, Doreen Noni toka Kampuni ya Panamusiq inayosimamia kazi za msanii huyo (wa kwanza kulia) akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) kuhusu udhamini wa video ya msanii wake walioupata toka Kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Jebel na kufafanua zaidi juu ya uzinduzi wa video hiyo mpya itakayotambulika kwa jina la “No Stress” anayotarajia kuzindua hivi karibuni. Wa pili kulia ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Utapeli wa nyumba za kupanga waibuka

Umeibuka mtandao wa matapeli jijini hapa wanaojifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoziweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Karaha za kupanga nyumba Dar

>Karibu nusu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanaishi katika nyumba za kupanga ambazo pamoja na kuwa ni chanzo cha mapato kwa wanaozimiliki, kwa upande mwingine ni karaha kwa wapangaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Matapeli nyumba za kupanga watokomezwe

Jana tulichapisha habari ya kuwapo mtandao wa matapeli wa nyumba za kupanga jijini Dar es Salaam. Matapeli hao wanajifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi. Ni mtandao ambao hakika umenasa watu wengi ambao wameingizwa katika mitego yake pasipo kujua.

 

10 years ago

Mwananchi

Aina za kampuni unazoweza kumiliki

Ndugu msomaji wa Uwanja wa Kambole, leo tutajikita kwenye aina za kampuni zinazotambuliwa na sheria namba 12 ya mwaka 2002. Kuna aina mbalimbali za kampuni na zinatofautiana kulingana na uhitaji na malengo ya mtu anayefungua pia akipata ushauri wa mwanasheria wake. Zifuatazo ni aina za kampuni Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampuni ya Taxi nchini India matatani

Serikali ya India imepiga marufuku huduma za kampuni ya kimataifa ya magari ya kukodisha,Uber

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani