Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taxi zasusia kumbeba msanii mweusi Australia

Msanii nguli raia wa Australia al maarufu ''Uncle'' amekiri kuwa amebaguliwa mara nyingi tu hata na madereva wa teksi wanaokataa kumbeba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Akothee: Msanii wa Kenya aliyepitia udereva ma3/taxi hadi kumiliki kampuni ya tour na nyumba za kupanga (Video)

Kwa msichana mwingine, kuachwa na mume aliyekuwa akimtegemea kwa kila kitu na kuachiwa watoto wadogo wanaohitaji kula na kwenda shule, kingekuwa chanzo cha kuamua kwenda kufanya kazi hatarishi ikiwemo kujiuza mwili wake. Hata hivyo, kwa Esther Akoth Kokeyo anayejulikana kwa jina la muziki kama Akothee, hali ilikuwa tofauti. “Nilipopata talaka niliona maisha yamenikatikia,” Akothee aliambia […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sekeleti kumbeba Rose Muhando

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa injili, Ephraim Sekeleti, atatumbuiza katika uzinduzi wa albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’ ya Rose Muhando utakaofanyika Agosti 3, Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar...

 

9 years ago

Habarileo

Uzoefu, busara kumbeba Spika

WABUNGE jana walianza kujisajili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 11 wiki ijayo, huku wengi wao wakitoa maoni ya sifa wanazozitaka kwa Spika mpya wa Bunge hilo, zikiwemo uzoefu, busara, kujua kanuni na mwenye utayari wa kuyakabili mabadiliko.

 

10 years ago

Habarileo

Nishati wazidi kumbeba Prof. Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAKATI Watanzania wakisubiri uchunguzi unaofanywa na Serikali kuhusu utoaji wa fedha Sh bilioni 182.77 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), taarifa zaidi zimebainisha kuwa uongozi wa miaka miwili ya Wizara ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Profesa Sospeter Muhongo, umefanikisha ongezeko la umeme katika Gridi ya Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Gesi kumbeba Muhongo mbio za Urais

Umoja wa Watu wenye Ulemavu katika Mkoa wa Mwanza unaojulikana kwa jina la ‘Walemavu tunaweza’, umesema nchi inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uelewa wa masuala ya gesi ili atumie nishati hiyo, kuwaletea wananchi maendeleo.

 

10 years ago

KwanzaJamii

ALAT yakana kumbeba Pinda urais wa 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Na Salome Kitomary Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat), imemkana Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, na kueleza kuwa hawahusiki kwa namna yoyote katika mbio zake za urais au kupewa fedha kwa ajili ya kuzigawa kwa Halmashauri Mkuu ya Taifa ya (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wanachama wa Chama hicho. Katibu Mkuu wa Alat, Habraham Shamumoyo, alisema hayo jana  ijini Dar es Salaam jana, katika mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na habari ...

 

10 years ago

GPL

MTITU: SIONI SHIDA KUMBEBA MGONGONI MWANANGU

Stori: Gladness Mallya
MALEZI! Msanii wa filamu Bongo, William Mtitu amefunguka kuwa haoni shida kumsaidia mkewe kumlea mtoto ikiwa ni pamoja na kumbeba mgongoni. Msanii wa filamu Bongo, William Mtitu akiwa na mke wake. Mtitu alisema huwa anawashangaa wanaume wanaoshindwa kuwasaidia wake zao kulea kwa kigezo kwamba siyo kazi yao hasa wanaume wa mjini jambo ambalo linawakandamiza wanawake kwani raha ya ndoa ni kusaidiana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamtaka Katibu wa CCM kuacha kumbeba kwa mbeleko Mwigulu Nchemba

DAVD JAIRO

Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida David Jairo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya madai yao ya kugomea kuendelea na mchakato wa kura za maoni hadi msimamizi wa uchaguzi ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Iramba, Mathias Shidagisha aondolewe kwenye zoezi hilo, kushoto ni Amon Gyunda.

KILIMBA

Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida, Juma Killimbah, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ofisi za chama cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani