Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi kumbeba Muhongo mbio za Urais

Umoja wa Watu wenye Ulemavu katika Mkoa wa Mwanza unaojulikana kwa jina la ‘Walemavu tunaweza’, umesema nchi inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uelewa wa masuala ya gesi ili atumie nishati hiyo, kuwaletea wananchi maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nishati wazidi kumbeba Prof. Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAKATI Watanzania wakisubiri uchunguzi unaofanywa na Serikali kuhusu utoaji wa fedha Sh bilioni 182.77 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), taarifa zaidi zimebainisha kuwa uongozi wa miaka miwili ya Wizara ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Profesa Sospeter Muhongo, umefanikisha ongezeko la umeme katika Gridi ya Taifa.

 

10 years ago

KwanzaJamii

ALAT yakana kumbeba Pinda urais wa 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Na Salome Kitomary Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat), imemkana Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, na kueleza kuwa hawahusiki kwa namna yoyote katika mbio zake za urais au kupewa fedha kwa ajili ya kuzigawa kwa Halmashauri Mkuu ya Taifa ya (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wanachama wa Chama hicho. Katibu Mkuu wa Alat, Habraham Shamumoyo, alisema hayo jana  ijini Dar es Salaam jana, katika mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na habari ...

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo: Nitaendesha nchi kwa uchumi wa gesi

>Mbunge wa kuteuliwa, Profesa  Sospeter Muhongo ameeleza jinsi atakavyoondoa umaskini nchini kwa kutumia uchumi wa gesi endapo atapitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwania urais.

 

11 years ago

Habarileo

Utafiti wa gesi Z. Tanganyika kazi ngumu-Muhongo

Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema utafiti wa mafuta na gesi katika Ziwa Tanganyika ni mgumu kama wa baharini, tofauti na utafiti kama huo katika nchi kavu.

 

11 years ago

Michuzi

Prof. Muhongo kuongoza kongamano la mafuta na gesi Ujerumani

Na Greyson Mwase, Ujerumani
Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano litakalofanyika kesho Berlin nchini Ujerumani ambapo atawasilisha mada kuhusiana na fursa za uwekezaji nchini Tanzania hususan katika sekta ya mafuta na gesi.
Kongamano hilo litakaloshirikisha wasomi mbalimbali litaenda sambamba na maonesho yatakayooneshwa na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini kama moja ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 50 ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mradi wa bomba la gesi asilia kukamilika kama ilivyopagwa - Profesa Muhongo

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joseph Simbakalia akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini pamoja na ujumbe alioambatana nao akiwemo balozi wa China nchini Bw…. Mara baada ya kufika ofisini kwake kuelezea uwepo wapo katika mkoa huo

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe John Simbakalia  akimweleza Waziri wa Nishati na Madini jambo linalohusu sekta ya umeme ambapo Prof. Muhongo anaisimamia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mkandarasi anayehusika na usambazaji wa umeme vijijini Bwana  Luta (mwenye...

 

11 years ago

Michuzi

PROF. MUHONGO AZINDUA RASMI KONGAMANO LA MAFUTA NA GESI BERLIN, UJERUMANI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb.) (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wajumbe anayewakilisha wafanyabiashara kabla ya kufungua kongamano la mafuta na gesi linaloendelea huko Ujerumani kama moja ya maadhimisho ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mtaalamu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Bi Venosa Ngowi (kulia) akimweleza Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (mwenye suti nyeusi) shughuli zinazofanywa na shirika hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani