Utafiti wa gesi Z. Tanganyika kazi ngumu-Muhongo
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema utafiti wa mafuta na gesi katika Ziwa Tanganyika ni mgumu kama wa baharini, tofauti na utafiti kama huo katika nchi kavu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Gesi kumbeba Muhongo mbio za Urais
10 years ago
Mwananchi26 Aug
JK ampa kazi ngumu Maghembe
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Kikwete urais si kazi ngumu
WAKATI mwingine baadhi ya wanasiasa huongea vitu visivyoingia akilini kana kwamba wanaowasikiliza hawana akili za kutosha au wenye kufikiri sawasawa. Hivi karibuni, akiwa nchini China, Rais Jakaya Kikwete alitoa mpya...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Yanga: Kazi bado ngumu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm, amekiri Ligi Kuu ni ngumu na kwamba hadi sasa hakuna timu ambayo imejihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi hiyo inayofikia tamati Aprili 19. Yanga...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Repoa yaanza utafiti wa gesi
TAASISI ya Utafiti na Kupunguza Umaskini nchini (Repoa) imeanza utafiti wa miaka mitano kuhusu rasilimali ya gesi na faida zake kwa uchumi wa Tanzania. Utafiti huo unashirikisha wataalam kutoka Norway...
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Muhongo: Nitaendesha nchi kwa uchumi wa gesi
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-asRrm_nWMI4/U1oWnq5_J_I/AAAAAAAFc9w/ytAtTNgkYLA/s72-c/unnamed+(34).jpg)
Prof. Muhongo kuongoza kongamano la mafuta na gesi Ujerumani
Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano litakalofanyika kesho Berlin nchini Ujerumani ambapo atawasilisha mada kuhusiana na fursa za uwekezaji nchini Tanzania hususan katika sekta ya mafuta na gesi.
Kongamano hilo litakaloshirikisha wasomi mbalimbali litaenda sambamba na maonesho yatakayooneshwa na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini kama moja ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 50 ya...
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Rais Kikwete: Kazi hii ya urais ni ngumu