JK ampa kazi ngumu Maghembe
Rais Jakaya Kikwete amemwagiza Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe kwenda kuwaeleza wananchi wa Mji wa Dumila wilayani Kilosa sababu za kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa maji na lini tatizo la kukosekana kwa huduma hiyo litapatiwa ufumbuzi.
Mwananchi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania