Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julio: Bado nina kazi ngumu Coastal

Kocha wa muda wa Coastal Union ya Tanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ana kibarua kizito kuhakikisha Coastal Union inamaliza ligi ikiwa katika nafasi tatu za juu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga: Kazi bado ngumu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm, amekiri Ligi Kuu ni ngumu na kwamba hadi sasa hakuna timu ambayo imejihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi hiyo inayofikia tamati Aprili 19. Yanga...

 

10 years ago

Michuzi

Jamhuri Kiwelu "Julio" atua Coastal Union

Kocha Msaidizi wa Timu ya Coastal Union,Jamhuri Kiwelu "Julio" (wa pili kulia waliosimama) akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo wakati wa mazoezi mara baada ya kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo akisaidiana na Kocha Mkuu James Nandwa ( wa nne kushoto).wengine pichani ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal Union Akida Machai.Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,Jamhuri Kiwelu "Julio"akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Bado nina mamlaka kutimua Ma-RC, Ma-DC

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema bado anayo mamlaka ya kuwafuta kazi wateule wake wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya ambao watashindwa kusimamia ukamilishaji wa ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata ifikapo Novemba mwaka huu.

 

9 years ago

GPL

ESTER: BADO NINA IMANI NA CCM

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama. Gladness Mallya MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama amefunguka kwamba bado ana imani na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuiongoza nchi kwani kinao uwezo wa kutatua matatizo ya wasanii. Akichezungumza na gazeti hili, Ester alisema anaipenda CCM na anamsapoti mgombea wake wa urais, Dk. John Magufuli na kuwataka Watanzania wote kuungana naye kwani anaamini chama hicho kikishinda...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wassira: Bado nina dhamira ya urais

WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Kauli hiyo, aliitoa jana wakati akifanya mahojiano kwenye...

 

9 years ago

Mwananchi

Zitto: Bado nina ndoto ya urais

Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atagombea urais baada ya miaka mitano ijayo.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL



KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.

Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.

Baada ya mechi hiyo dhidi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Tiba kwa wagonjwa vichwa vikubwa bado ngumu

WAGONJWA wa vichwa vikubwa na mgongo wazi wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la upatikanaji wa tiba kwa urahisi, kutokana na kuwapo madaktari bingwa watano huku jamii kushindwa kumudu gharama za matibabu na kufika hospitalini.

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza:Hata Baada ya Kuzaa Naona Bado Nina Mvuto!!!

Mwigizaji wa filamu alietoa kali ya  mwaka jana kwa kuvaa  Diaper  wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Faiza Ally leo ameibuka  na picha akiwa ufukweni amevalia vinguo vya kuogelea huku pembeni akiwa na mtoto wake nakudai kuwa bado ana mvuto hata baada ya kuzaa mtoto.

“Hata baada ya kuzaa naona niko sexy ile mbaya kudadadeki!!!!” Faiza aliandika

Haya hebu jionee na umwambie kitu mama huyu mwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani