JK: Bado nina mamlaka kutimua Ma-RC, Ma-DC
RAIS Jakaya Kikwete amesema bado anayo mamlaka ya kuwafuta kazi wateule wake wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya ambao watashindwa kusimamia ukamilishaji wa ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata ifikapo Novemba mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Mar
Walalamikia Mamlaka ya Katibu wa Bunge kutimua waandishi
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamelalamika Katibu wa Bunge kupewa mamlaka makubwa ya kuweza kumruhusu na kumfukuza mwandishi wa habari kuripoti habari za bunge hilo, wakisema anaweza kuyatumika kukandamiza vyombo vya habari.
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Zitto: Bado nina ndoto ya urais
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Wassira: Bado nina dhamira ya urais
WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Kauli hiyo, aliitoa jana wakati akifanya mahojiano kwenye...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/ester-kiama.gif)
ESTER: BADO NINA IMANI NA CCM
10 years ago
Mwananchi03 Apr
Julio: Bado nina kazi ngumu Coastal
10 years ago
Bongo Movies07 Jan
Faiza:Hata Baada ya Kuzaa Naona Bado Nina Mvuto!!!
Mwigizaji wa filamu alietoa kali ya mwaka jana kwa kuvaa Diaper wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Faiza Ally leo ameibuka na picha akiwa ufukweni amevalia vinguo vya kuogelea huku pembeni akiwa na mtoto wake nakudai kuwa bado ana mvuto hata baada ya kuzaa mtoto.
“Hata baada ya kuzaa naona niko sexy ile mbaya kudadadeki!!!!” Faiza aliandika
Haya hebu jionee na umwambie kitu mama huyu mwenye...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PEvZyn05XD4/Uy9CbiLNWiI/AAAAAAAFVyc/4jxSZumrULA/s72-c/unnamed+(91).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.
Kwa taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...