Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira: Bado nina dhamira ya urais

WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Kauli hiyo, aliitoa jana wakati akifanya mahojiano kwenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Zitto: Bado nina ndoto ya urais

Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atagombea urais baada ya miaka mitano ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Melleck: Nina dhamira ya kumng’oa Mrema Vunjo 2015

 Innocent Melleck linaweza kuwa jina geni kwenye medani ya siasa nchini.Pia, ugeni huo haumzuii kutangaza nia ya kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwakani kwenye Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Habarileo

JK: Bado nina mamlaka kutimua Ma-RC, Ma-DC

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema bado anayo mamlaka ya kuwafuta kazi wateule wake wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya ambao watashindwa kusimamia ukamilishaji wa ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata ifikapo Novemba mwaka huu.

 

9 years ago

GPL

ESTER: BADO NINA IMANI NA CCM

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama. Gladness Mallya MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama amefunguka kwamba bado ana imani na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuiongoza nchi kwani kinao uwezo wa kutatua matatizo ya wasanii. Akichezungumza na gazeti hili, Ester alisema anaipenda CCM na anamsapoti mgombea wake wa urais, Dk. John Magufuli na kuwataka Watanzania wote kuungana naye kwani anaamini chama hicho kikishinda...

 

10 years ago

Mwananchi

Julio: Bado nina kazi ngumu Coastal

Kocha wa muda wa Coastal Union ya Tanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ana kibarua kizito kuhakikisha Coastal Union inamaliza ligi ikiwa katika nafasi tatu za juu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza:Hata Baada ya Kuzaa Naona Bado Nina Mvuto!!!

Mwigizaji wa filamu alietoa kali ya  mwaka jana kwa kuvaa  Diaper  wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Faiza Ally leo ameibuka  na picha akiwa ufukweni amevalia vinguo vya kuogelea huku pembeni akiwa na mtoto wake nakudai kuwa bado ana mvuto hata baada ya kuzaa mtoto.

“Hata baada ya kuzaa naona niko sexy ile mbaya kudadadeki!!!!” Faiza aliandika

Haya hebu jionee na umwambie kitu mama huyu mwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Wassira acharukia wataka urais

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira amewataka wote wanaotumia suala la ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali (PAC) kwa vigezo vya kuwaondoa wenzao katika mbio za urais hawastahili kupewa nafasi hiyo

 

10 years ago

Habarileo

Mwigulu na Wassira wakoleza mbio za Urais

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akitangaza nia ya kuomba kuchaguliwa na CCM kugombea urais mwaka huu.MAKADA wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba na Stephen Wassira wametangaza rasmi nia yao ya kutaka kuwania kupitishwa na chama hicho, kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

Wassira: Nitatangaza kuwania urais keshokutwa Mwanza

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema keshokutwa atatangaza rasmi nia yake ya kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimteue kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani