Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira: Nitatangaza kuwania urais keshokutwa Mwanza

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema keshokutwa atatangaza rasmi nia yake ya kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimteue kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STEPHEN WASSIRA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Stephen Wassira akitangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa BOT jijini Mwanza leo. WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira leo ametangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa BOT jijini Mwanza. Wassira anawania nafasi ya kugombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Katika hotuba yake wakati wa kutangaza nia yake, Wassira amesema amepata kuteuliwa kuongoza sehemu mbalimbali nchini maana marais wote...

 

10 years ago

Vijimambo

DK JOHN MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI KUWANIA URAIS MIKOA YA KAGERA,MARA NA MWANZA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Musoma.Zoezi la udhamini katika wilaya ya Magu likiendelea huku Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akifatilia kwa makini.Zoezi la udhamini katika wilaya ya Musoma mkoani Mara likiendelea.Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba kufungua pazia urais keshokutwa

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa  Ibrahim Lipumba, Jumapili atachukua fomu ya kugombea urais ndani ya chama hicho na atawaeleza Watanzania sababu ya kuwania nafasi hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kwenda Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara keshokutwa 23 Oktoba

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni hiyo.Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Katibu wa Tume hiyo Wakili Fredrick Manyanda (pichani), Tume hiyo itatembelea mikoa hiyo kuanzia keshokutwa Alhamisi, Oktoba 23, mwaka huu hadi tarehe Novemba 18 mwaka huu.Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Wassira acharukia wataka urais

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira amewataka wote wanaotumia suala la ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali (PAC) kwa vigezo vya kuwaondoa wenzao katika mbio za urais hawastahili kupewa nafasi hiyo

 

10 years ago

GPL

STEPHEN WASSIRA ALIVYOTANGAZA NIA JIJINI MWANZA JANA

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira akitangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wassira: Bado nina dhamira ya urais

WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Kauli hiyo, aliitoa jana wakati akifanya mahojiano kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Mwigulu na Wassira wakoleza mbio za Urais

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akitangaza nia ya kuomba kuchaguliwa na CCM kugombea urais mwaka huu.MAKADA wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba na Stephen Wassira wametangaza rasmi nia yao ya kutaka kuwania kupitishwa na chama hicho, kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani