Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Bado nina ndoto ya urais

Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atagombea urais baada ya miaka mitano ijayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wassira: Bado nina dhamira ya urais

WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Kauli hiyo, aliitoa jana wakati akifanya mahojiano kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

URAIS CCM: Ndoto ya Membe bado ipo upande wake

Dar es Salaam. Kwa mtazamo wa wengi, ilionekana dhahiri kwamba Berbard Membe alikuwa miongoni mwa wanaCCM wenye nguvu kubwa walioomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

10 years ago

Mwananchi

Membe: Nina ndoto ambayo haijatimia

Mwananchi: Katika maisha kuna ndoto ya kufanikiwa. Wewe binafsi, umewahi kuoteshwa hapo nyuma kuhusu mambo ya urais? Je, bado una ndoto hizo ifikapo 2015 kwani tayari umesema ubunge basi. Je, nini kitafuata?

 

10 years ago

Dewji Blog

Nina ndoto yangu kuzinduliwa Dar

mwansaDSC07129

Ephraim Mwansasu.

Na Mwandishi wetu

MWIMBAJI wa nyimbo za kiroho Mchungaji Kiongozi wa Huduma ya Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, anatarajia kuzindua albam yake ya tano inayojulikana kwa jina la ‘Nina Ndoto Yangu.’

Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kiongozi huyo alisema ujumbe uliyomo katika wimbo huo ni kwa ajili ya makundi yote bila kubagua madhehebu.

Mchungaji Mwansasu, alisema uzinduzi huo anatarajia kufanya Novemba mbili mwaka huu, ambapo albamu hiyo itakuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Issa Mkalinga: Nina ndoto ya kugombea Ubunge Nachingwea 2015

Mwaka 2015 utafanyika Uchaguzi Mkuu unaotajwa kuwa na upinzani wa hali ya juu kutokana na vyama mbalimbali vya siasa kuonyesha kujipanga kuleta upinzani mkubwa kwa chama tawala.

 

10 years ago

Mwananchi

Frank Mwaisumbe: Nina ndoto kuitwaa Mbeya Vijijini 2015

Wakati unapokaribia mwaka 2015, wanasiasa wengi wameanza kutangaza nia zao za kutaka uongozi ukiwamo ubunge. Frank Mwaisumbe, ni mwanasiasa kijana mwenye kiu ya kuwatumikia wananchi

 

10 years ago

Habarileo

JK: Bado nina mamlaka kutimua Ma-RC, Ma-DC

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema bado anayo mamlaka ya kuwafuta kazi wateule wake wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya ambao watashindwa kusimamia ukamilishaji wa ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata ifikapo Novemba mwaka huu.

 

9 years ago

GPL

ESTER: BADO NINA IMANI NA CCM

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama. Gladness Mallya MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama amefunguka kwamba bado ana imani na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuiongoza nchi kwani kinao uwezo wa kutatua matatizo ya wasanii. Akichezungumza na gazeti hili, Ester alisema anaipenda CCM na anamsapoti mgombea wake wa urais, Dk. John Magufuli na kuwataka Watanzania wote kuungana naye kwani anaamini chama hicho kikishinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani