MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-PEvZyn05XD4/Uy9CbiLNWiI/AAAAAAAFVyc/4jxSZumrULA/s72-c/unnamed+(91).jpg)
Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini. Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0ONyBCD4_A0/XlvfirDBYTI/AAAAAAALgPQ/zazNni1QN6ozj5NmQZosa9GYQtKwBnN0ACLcBGAsYHQ/s72-c/MVUAAAAAAAAAAAAAAA%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s6H8gBDNMEY/VIVjIbUrWrI/AAAAAAAG16A/Rbr5217A81c/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s72-c/uk-met.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s1600/uk-met.jpg)
5 years ago
MichuziMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA -TCRA KANDA YA ZIWA YAADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MTUMIAJI DUNIANI
Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa imeadhimisha Siku ya Haki ya Mtumiaji Duniani (World Consumer Rights Day) leo Machi 9,2020 kwa kutoa elimu kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoa wa Shinyanga juu ya haki za watumiaji wa Huduma za Mawasiliano.
Akizungumza, Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo alisema TCRA Kanda ya Ziwa imeadhimisha siku hii leo Machi 9,2020 ambapo Kidunia itafanyika Machi 15,2020 kwa kauli mbiu ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CWrN_zGpowE/Xt9ZuGgT1zI/AAAAAAALtJo/nLdi_CaTmpo6kZF7UfuVn5oxCPXyVjBpgCLcBGAsYHQ/s72-c/TMA.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.
![](https://1.bp.blogspot.com/-CWrN_zGpowE/Xt9ZuGgT1zI/AAAAAAALtJo/nLdi_CaTmpo6kZF7UfuVn5oxCPXyVjBpgCLcBGAsYHQ/s400/TMA.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dc4Mwrw6QT4/VBgiuf69GBI/AAAAAAAGj8M/-FVeHCAjxng/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...
11 years ago
Michuzi23 Jun
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-e8xcmVz8E6s/VSWvXRd_2OI/AAAAAAADhQI/9RoX2C1Alig/s72-c/dr.%2Bmhita.jpg)
ALIYEKUWA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA AFARIKI DUNIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-e8xcmVz8E6s/VSWvXRd_2OI/AAAAAAADhQI/9RoX2C1Alig/s1600/dr.%2Bmhita.jpg)