Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA TOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA: MWELEKEO WA HALI YA JOTO NA MVUA KATIKA KIPINDI CHA JUNI HADI AGOSTI 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWELEKEO WA HALI YA JOTO NA MVUA KATIKA KIPINDI CHA JUNI HADI AGOSTI 2014‏

MWELEKEO WA HALI YA JOTO NA MVUA KATIKA KIPINDI CHA JUNI HADI AGOSTI 2014 Taarifa hii inatoa mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa, joto na mvua katika kipindi cha miezi ya Juni hadi Agosti (JJA) 2014. RAMAMI INAONESHA HALI JOTO 1.MIFUMO YA HALI YA HEWA
Mifumo ya hali ya hewa inaonesha uwezekano wa kuongezeka kwa joto la bahari katika eneo la ukanda wa Tropiki la bahari ya Pasfiki kwa kipindi cha miezi ya Juni hadi Agosti 2014....

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tathmini ya mvua kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa.…

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.

Na Karama Kenyunko Michuzi TV.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni  hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.

Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.

Akizungumzia msimu huo,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC

Mamlaka ya Hali ya Hewa kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mkutano wa kila mwaka wa umoja wa taasis za hali ya hewa katika nchi za Kusini mwa Afrika (MASA).
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...

 

11 years ago

GPL

TMA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, KUTOA TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014 Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania atatoa taarifa ya mwelekeo wa hali ya hewa kwa mwezi Januari na Februari 2014. Taarifa hiyo itatolewa kwa vyombo vya habari Jumanne tarehe 31 Desemba 2013, saa 5 (tano) asubuhi, katika ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani