Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, KUTOA TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014 Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania atatoa taarifa ya mwelekeo wa hali ya hewa kwa mwezi Januari na Februari 2014. Taarifa hiyo itatolewa kwa vyombo vya habari Jumanne tarehe 31 Desemba 2013, saa 5 (tano) asubuhi, katika ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hali ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tathmini ya mvua kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa.…

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.

Na Karama Kenyunko Michuzi TV.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni  hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.

Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.

Akizungumzia msimu huo,...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI — FEBRUARI, 2015 NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi akiongea na vyombo vya habari kuhusiana na mwelekeo wa utabiri wa hali ya hewa kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari 2015 Wanahabari wakichukua taarifa inayotolewa na Dkt. Kijazi katika ukumbi wa mikutano TMA.

 

5 years ago

CCM Blog

TMA YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA MSIMU WA KIPUPWE NCHINI


Na Karama Kenyunko Michuzi TV.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni  hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) YAKUTANA NA WANAHABARI KUTATHIMINI JIJINI DAR LEO

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imekuwa ikikutana na wanahabari katika kuandaa utabiri wa msimu ili kupata michango yao na kuifanyia kazi kadri inavyowezekana kwa lengo la kuhakikisha taarifa sahihi zinatolewa kwa wakati muafaka.
Baada ya kukutana na wanahabari hao katika warsha zaidi ya tatu ikiwemo ile ya lugha itumikayo katika kutoa utabiri wa msimu, TMA imeona ni wakati muafaka sasa kwa Mamlaka kuweza kupata mrejesho ili kuweza kuboresha ushirikiano wake na vyombo vya habari...

 

11 years ago

Habarileo

TMA: Msidharau taarifa za hali ya hewa

Dk Agness KijaziWATANZANIA wametakiwa kutodharau tafiti na taarifa, zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwani mabadiliko ya mara kwa mara ya hali ya hewa yanayotokea yanaweza kuleta madhara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani