Nyalandu akabidhi ofisi, Maghembe aahidi kazi
WATENDAJI katika Wizara ya Maliasili na Utalii wameombwa kumpa ushirikiano Waziri mpya wa wizara hiyo, Profesa Jumanne Maghembe ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ufanisi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-IlUX14oJkoE/VoJZY-7_rNI/AAAAAAAAASs/Iz1fKrcaDRI/s72-c/DSC_4403.jpg)
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU
![](http://3.bp.blogspot.com/-IlUX14oJkoE/VoJZY-7_rNI/AAAAAAAAASs/Iz1fKrcaDRI/s640/DSC_4403.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-b1A2YvSAAcw/VoJZcRwLIQI/AAAAAAAAAS4/2ZSG905gCwQ/s640/DSC_4409.jpg)
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Nyalandu: Msaidieni Profesa Maghembe
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
“Watendaji ni kiungo muhimu kwa waziri kutekeleza majukumu yake, ni matumaini yangu mtampa ushirikiano katika hili,” alisema.
Nyalandu alisema ushirikiano huo utawezesha rasilimali za nchi kama misitu na wanyama kuendelea kuwapo na kutumika kwa njia endelevu.
Alisema umuhimu wa wizara kuendelea kutangaza vivutio vya utalii ili kuhakikisha malengo katika sekta hiyo unazidi kufikiwa.
“Wizara hii ina watendaji wema na wanaojitolea kutimiza majukumu yao, kuna...
10 years ago
Mwananchi26 Aug
JK ampa kazi ngumu Maghembe
9 years ago
StarTV06 Jan
Waziri Maghembe awasimamisha kazi Mkurugenzi, maafisa
Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi endelevu ya Rasilimali za Misitu wa Wakala wa Misitu Tanzania TFS Mohammed Kilongo pamoja na maafisa wa misitu wa Mikoa yote nchini kupisha uchunguzi wa ubadhirifu ulioonekana ili ufanyiwe kazi.
Hata hivyo, Waziri huyo pia ametoa siku saba kwa Idara ya Misitu kurudi katika Jengo la Wizara hiyo kwa lengo la kupunguza matumizi mabaya ya fedha za Serikali na kukemea tabia ya kupanga...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Rage akabidhi ofisi Simba
HATIMAYE aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, jana alikabidhi rasmi ofisi Makao Makuu ya klabu hiyo kwa Rais Evans Aveva na kamati yake ya utendaji, ikiwamo mikataba mbalimbali iliyosaini...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Tido Mhando akabidhi ofisi MCL
10 years ago
Habarileo28 Apr
Pinda aahidi ofisi ya Takwimu itaimarishwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imedhamiria kuiimarisha Ofisi ya Takwimu ya Taifa ili iweze kutoa huduma bora, siyo tu kwa Serikali, bali hata kwa wananchi kwa sababu wana haki ya kupatiwa takwimu sahihi.
10 years ago
Habarileo01 Feb
Muhongo akabidhi ofisi kwa Simbachawene
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekabidhi rasmi wizara hiyo kwa waziri wa sasa, George Simbachawene, aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-xQTl6WEkmH8/VQBgVfeSgbI/AAAAAAAAB7w/lqX_QIJ7bIg/s72-c/NYALANDU9.jpg)
Nyalandu azindua ofisi za TAWA
Na mwandishi wetu MAMLAKA ya Wanyamapori Tanzania (TWA), imepata ofisi za muda mkoani Morogoro, kwa ajili ya matumizi ya muda, hivyo kuanza kazi wakati wowote kuanzia sasa. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alitembelea ofisi hizo zitakazokuwa kwenye jengo la Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI) jana, alipokuwa na kikao cha kupitisha bajeti ya mamlaka hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu. Alikipongeza kikosi kazi kinachosimamia uanzishwaji wa TAWA kwa kufanya kazi kwa bidii na...