Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aahidi ofisi ya Takwimu itaimarishwa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imedhamiria kuiimarisha Ofisi ya Takwimu ya Taifa ili iweze kutoa huduma bora, siyo tu kwa Serikali, bali hata kwa wananchi kwa sababu wana haki ya kupatiwa takwimu sahihi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU KUADHIMISHA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA KESHO

 Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephrahim Kwesigabo, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu Siku ya Takwimu Afrika itakayo adhimishwa Dar es Salaam kesho. Kulia ni Mtakwimu Mkuu, Adella Ndesengia. Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephrahim Kwesigabo, akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari  uliofanyika leo jijini Dar es Salaam kuhusu Siku ya Takwimu Afrika...

 

11 years ago

GPL

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAWASILISHA MPANGO MKAKATI WA TAKWIMU ZA KILIMO KWA WADAU.

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Morrice Oyuke  akizungumza na wadau mbalimbali  wakati wa kujadili Mpango Mkakati wa Takwimu za Kilimo leo jijini Dar es salaam. Mpango huo utaiwezesha Ofisi ya Taifa ya Takwimu kukusanya takwimu sahihi zinazokidhi viwango vya ndani na vile vya kimataifa.
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO) nchini Tanzania Bi. Diana Tampelman  akizungumza na...

 

9 years ago

Michuzi

WATAALAM WA TAKWIMU KUTOKA OFISI ZA TAKWIMU BARANI AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Afrika Kusini Risenga Maluleke akizungumza leo na waandishi wa habari kuhusu madhumuni ya mkutano wa watalaam wa takwimu kutoka nchi mbalimbali barani Afrika ambapo wamekutana kujadili Mfumo wa Uongozi Bora katika Ofisi za Takwimu pamoja na Uboreshaji wa Mitaala ya Ufundishaji wa Masomo ya Takwimu. Mkutano huo ni wa siku tano na unafanyika katika hoteli ya Golden Tulip iliyopo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BODI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU WAKUTANA LEO KUJADILI MAENDELEO YA OFISI HIYO

Wajumbe wa Bodi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao chao kilichofanyika leo katika ukumbi wa ofisi hiyo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi Pro. Melline Mbonile kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kulia kwake ni Mary Faini kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Doreen Laurent kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na kushoto kwake ni Paula Tibandebage kutoka REPOA na John Mwilima kutoka Wizara ya Fedha. (Picha na...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA YA KWANZA YA MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam wakati akitangaza matokeo ya takwimu za Pato la Taifa kwa robo mwaka ya kwanza kuanzia mwezi Januari – Machi, 2015 ambayo yameonyesha kuwa thamani ya Pato la imekua na kufikia shilingi trilioni 21.9 ikilinganishwa na shilingi trilioni 18.6 ya robo mwaka ya kwanza ya mwaka 2014. Kushoto kwake ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa Daniel Masolwa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Ofisi ya takwimu kuzibana wizara

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imewataka wanasiasa nchini, kutumia takwimu sahihi kutoka ofisi hiyo katika kufanya maamuzi. Ofisi hiyo imesema moja ya changamoto inayoikabili ni wanasiasa kutokwenda kutafuta takwimu hivyo kufanya maamuzi bila kuwa na taarifa na takwimu sahihi.

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA- OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Novemba, 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 5.8 kutoka 5.9 iliyokuwepo mwezi Oktoba ,2014 kutokana na kupungua kwa kasi ya bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa  waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa  Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa kupungu kwa mfumuko wa Bei...

 

11 years ago

Mwananchi

Ofisi ya Takwimu yawatupia lawama viongozi nchini

Viongozi wengi wanafanya uamuzi wa taifa bila kuzingatia takwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini, imeelezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani