Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu: Msaidieni Profesa Maghembe

nyalanduNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

“Watendaji ni kiungo muhimu kwa waziri kutekeleza majukumu yake, ni matumaini yangu mtampa ushirikiano katika hili,” alisema.

Nyalandu alisema ushirikiano huo utawezesha rasilimali za nchi kama misitu na wanyama kuendelea kuwapo na kutumika kwa njia endelevu.

Alisema umuhimu wa wizara kuendelea kutangaza vivutio vya utalii ili kuhakikisha malengo katika sekta hiyo unazidi kufikiwa.

 

“Wizara hii ina watendaji wema na wanaojitolea kutimiza majukumu yao, kuna...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Profesa Maghembe awekewa pingamizi

Wakati kampeni zikianza, wagombea mbalimbali wamewekewa pingamizi huku baadhi ya majina yakipita bila kupingwa kwa vyama mbalimbali.

 

10 years ago

Raia Mwema

Chadema, NCCR kumnufaisha Profesa Maghembe

HALI ya kuvurugana kati ya wagombea wawili wa vyama vya vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Mwananchi

Pingamizi dhidi ya Profesa Maghembe latupwa

Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Mwanga ametupilia mbali pingamizi zilizowekwa na mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema, Henry Kileo dhidi ya wagombea wenzake wawili.

 

9 years ago

Habarileo

Nyalandu akabidhi ofisi, Maghembe aahidi kazi

WATENDAJI katika Wizara ya Maliasili na Utalii wameombwa kumpa ushirikiano Waziri mpya wa wizara hiyo, Profesa Jumanne Maghembe ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ufanisi.

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Maghembe ajivunia mafanikio miradi ya maji

Profesa Jumanne MaghembeWAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe amesema wabunge watapewa nakala za taarifa za miradi ya maji inayotekelezwa mijini ambapo kumekuwa na mafanikio makubwa katika utekelezaji wake.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAJI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA RASIMI WIKI YA MAJI KITAIFA MKOANI DODOMA

 Waziri wa Maji  Profesa Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa mtalamu kutoka nchini Australia Eng Johann Fabach kuhusu bomba lililotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa nchini Australia ambalo haliharibiki kwa urahisi wala kupata kutu. Kushoto  ni mkurugenzi msaidizi  Prima Business ya nchini Australia Bibi Annastella Baradyana. Maonesho hayo yanafanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma Picha na Chris Mfinanga
Ofisa Habari wa Dawasa Bi. Neli Msuya akitoa maelezo kwa waziri wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akikabidhiwa taarifa ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 ofisini kwake Mpingo House. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Selestine Gesimba (kulia).Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Lazaro...

 

11 years ago

Habarileo

'Watanzania msaidieni mama wanne'

MKUU wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, Mariam Lugaila amesema atapitisha michango kwa wasamaria ili waweze kumsaidia Tecla Kazimili (24) aliyejifungua watoto wanne.

 

9 years ago

Mwananchi

Lukuvi: Msaidieni Rais kukamua majipu madogo

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewataka viongozi wa dini kuihamasisha jamii kumsaidia Rais John Magufuli kukamua majipu madogomadogo ambayo yapo kila mahali nchini na kumuachia mkuu huyo wa nchi yake makubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani