Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Maghembe ajivunia mafanikio miradi ya maji

Profesa Jumanne MaghembeWAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe amesema wabunge watapewa nakala za taarifa za miradi ya maji inayotekelezwa mijini ambapo kumekuwa na mafanikio makubwa katika utekelezaji wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAJI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA RASIMI WIKI YA MAJI KITAIFA MKOANI DODOMA

 Waziri wa Maji  Profesa Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa mtalamu kutoka nchini Australia Eng Johann Fabach kuhusu bomba lililotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa nchini Australia ambalo haliharibiki kwa urahisi wala kupata kutu. Kushoto  ni mkurugenzi msaidizi  Prima Business ya nchini Australia Bibi Annastella Baradyana. Maonesho hayo yanafanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma Picha na Chris Mfinanga
Ofisa Habari wa Dawasa Bi. Neli Msuya akitoa maelezo kwa waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGHEMBE ATAMBELEA MIRADI YA MAJI MKOA WA PWANI

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akimuonesha Waziri wa Maji, Profesa Maghembe samaki waliokufa katika bwawa linalosadikiwa kutiwa sumu na mtu asiyejulikana.

 Mto Wame ambao ndiyo chanzo kikuu cha maji cha mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Chalinze jinsi ulivyochafuka. Mkurugenzi wa majisafi na usafi wa mazingira Chalinze Christa Mchomba akimuonesha Waziri wa Maji Profesa Jumanne maghembe na aliyoongozana nao jinsi mto Wame ulivyochafuka, aliyeinama ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani...

 

10 years ago

Habarileo

JK ajivunia miaka 10 ya mafanikio

Rais Jakaya Kikwete akitoa mhadhara katika kituo cha Kimataifa cha Woodrow Wilson jijini Washington DC. (Picha na Ikulu).SERIKALI ya awamu ya nne inajivunia mafanikio iliyoyapata tangu kuingia madarakani mwaka 2005 na kuweka msingi imara wa nchi katika kutekeleza Mkakati wa Maendeleo wa Mwaka 2025 ambao unalenga kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtitu ajivunia mafanikio 2013

MKURUGENZI wa kampuni ya kizalendo ya 5 Effects Film, William Mtitu, amejivunia mafanikio aliyoyapata mwaka 2013 kwa kufanikiwa kutoa filamu tatu ambazo zote zinafanya vizuri sokoni, huku mapema mwezi huu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif ajivunia mafanikio CUF

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema mafanikio na changamoto katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, viwe vitendea kazi kwa uongozi mpya utakaopatikana baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Maghembe awekewa pingamizi

Wakati kampeni zikianza, wagombea mbalimbali wamewekewa pingamizi huku baadhi ya majina yakipita bila kupingwa kwa vyama mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani