Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bi. Agnes Hokororo.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.

Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.

 kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kisima cha maji.
 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji.  Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  Muonekano wa kisima kichozinduliwa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAJI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA RASIMI WIKI YA MAJI KITAIFA MKOANI DODOMA

 Waziri wa Maji  Profesa Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa mtalamu kutoka nchini Australia Eng Johann Fabach kuhusu bomba lililotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa nchini Australia ambalo haliharibiki kwa urahisi wala kupata kutu. Kushoto  ni mkurugenzi msaidizi  Prima Business ya nchini Australia Bibi Annastella Baradyana. Maonesho hayo yanafanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma Picha na Chris Mfinanga
Ofisa Habari wa Dawasa Bi. Neli Msuya akitoa maelezo kwa waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Maghembe akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Tanki la Maji katika kijiji cha Itege mjini Dodoma

Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akikagua ujenzi wa tanki la maji lenye ujazo wa lita million 5.5 kwa ajili ya kuhudumia wakazi wapatao 20,000 katika eneo la Itege mjini Dodoma. Tanki hilo ni miongoni mwa matenki manne yanayoendelea kujengwa. Ujenzi wa mradi huu unajengwa kwa ushirikiano wa Serikali za Tanznia na Jamhuri ya Korea kwa gharama ya Sh. Billion 78. Mkandarasi wa Ujenzi wa Matanki hayo akimuelekeza kitu Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Jumanne Maghembe wakati alipofika kukagua...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia ujirani mwema wakabidhi mradi wa maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji wa ujirani Mwema uliotolewa na hifadhi za taifa nchni TANAPA. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika tanki la maji la mradi wa ujirani mwema uliotolewa na TANAPA kwa wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani