Waziri Maghembe akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Tanki la Maji katika kijiji cha Itege mjini Dodoma
Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akikagua ujenzi wa tanki la maji lenye ujazo wa lita million 5.5 kwa ajili ya kuhudumia wakazi wapatao 20,000 katika eneo la Itege mjini Dodoma. Tanki hilo ni miongoni mwa matenki manne yanayoendelea kujengwa. Ujenzi wa mradi huu unajengwa kwa ushirikiano wa Serikali za Tanznia na Jamhuri ya Korea kwa gharama ya Sh. Billion 78. Mkandarasi wa Ujenzi wa Matanki hayo akimuelekeza kitu Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Jumanne Maghembe wakati alipofika kukagua...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA
5 years ago
MichuziWAZIRI MBARAWA AKAGUA TANKI LA MAJI LENYE KUBEBA LITA MILIONI 10 ARUMERU
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA TUME YA UCHAGUZI (NEC), LILILOPO NDEJENGWA, JIJINI DODOMA.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili kwenye Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa, jijini Dodoma, wakati alipoenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo, linalojengwa na Kikosi cha SUMA JKT, May 5, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati alipokagua ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), lililopo...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji. Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma. Muonekano wa kisima kichozinduliwa.
9 years ago
Michuzi26 Aug
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziNASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Zoezi hilo lilo anza majira ya saa 3 asubuhi na kumalizika majira ya saa 12 jioni ilishuhudiwa Mbunge Nassar akishiriki kazi za mikono ikiwemo kubeba mawe na kuayapanga katika eneo la mto kwa ajili ya ujenzi wa chanzo hicho.Akizungumza katika eneo hilo ,Nassar...
10 years ago
VijimamboMBUNGE JOSHUA NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10