Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Maghembe awekewa pingamizi

Wakati kampeni zikianza, wagombea mbalimbali wamewekewa pingamizi huku baadhi ya majina yakipita bila kupingwa kwa vyama mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Pingamizi dhidi ya Profesa Maghembe latupwa

Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Mwanga ametupilia mbali pingamizi zilizowekwa na mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema, Henry Kileo dhidi ya wagombea wenzake wawili.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbowe awekewa pingamizi Chadema

Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu kwa madai ya kukiuka katiba ya chama hicho na maagizo ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.

Pingamizi hilo limewekwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, ambaye pia ni mgombea wa nafasi hiyo.

Barua ya Mbarouk yenye kumbukumbu namba  Mbarouk/UCH/14 kwenda kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgombea CHADEMA awekewa pingamizi

MGOMBEA wa ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Fabian Skauk, amewasilisha pingamizi kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Samweli Sarianga, dhidi ya mgombea wa Chama cha...

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Habarileo

Mshauri wa Maalim Seif awekewa pingamizi Zanzibar

MANSOUR Yussuf Himid ambaye ni mshauri wa siasa wa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amewekewa pingamizi na mgombea wa CCM kwa madai ya kuwasilisha taarifa za uongo katika makosa yanayomkabili ya kukamatwa na silaha.

 

9 years ago

Mtanzania

Nyalandu: Msaidieni Profesa Maghembe

nyalanduNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

“Watendaji ni kiungo muhimu kwa waziri kutekeleza majukumu yake, ni matumaini yangu mtampa ushirikiano katika hili,” alisema.

Nyalandu alisema ushirikiano huo utawezesha rasilimali za nchi kama misitu na wanyama kuendelea kuwapo na kutumika kwa njia endelevu.

Alisema umuhimu wa wizara kuendelea kutangaza vivutio vya utalii ili kuhakikisha malengo katika sekta hiyo unazidi kufikiwa.

 

“Wizara hii ina watendaji wema na wanaojitolea kutimiza majukumu yao, kuna...

 

9 years ago

Raia Mwema

Chadema, NCCR kumnufaisha Profesa Maghembe

HALI ya kuvurugana kati ya wagombea wawili wa vyama vya vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (

Paul Sarwatt

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Maghembe ajivunia mafanikio miradi ya maji

Profesa Jumanne MaghembeWAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe amesema wabunge watapewa nakala za taarifa za miradi ya maji inayotekelezwa mijini ambapo kumekuwa na mafanikio makubwa katika utekelezaji wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani