Mbowe awekewa pingamizi Chadema
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu kwa madai ya kukiuka katiba ya chama hicho na maagizo ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.
Pingamizi hilo limewekwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, ambaye pia ni mgombea wa nafasi hiyo.
Barua ya Mbarouk yenye kumbukumbu namba Mbarouk/UCH/14 kwenda kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Mgombea CHADEMA awekewa pingamizi
MGOMBEA wa ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Fabian Skauk, amewasilisha pingamizi kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Samweli Sarianga, dhidi ya mgombea wa Chama cha...
11 years ago
Habarileo14 Mar
Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Profesa Maghembe awekewa pingamizi
9 years ago
Habarileo08 Sep
Mshauri wa Maalim Seif awekewa pingamizi Zanzibar
MANSOUR Yussuf Himid ambaye ni mshauri wa siasa wa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amewekewa pingamizi na mgombea wa CCM kwa madai ya kuwasilisha taarifa za uongo katika makosa yanayomkabili ya kukamatwa na silaha.
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Pingamizi la Mbowe hewa
MKURUGENZI wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uratibu wa Kanda wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Benson Kigaila, amesema ofisi ya Katibu Mkuu wa chama hicho haijapokea pingamizi lolote kutoka kwa...
10 years ago
Mtanzania09 Sep
Msajili: Pingamizi la Mbowe, matokeo ya kunipuuza
![Freeman Mbowe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Freeman-Mbowe.jpg)
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
PATRICIA KIMELEMETA NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuwekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesema kinachotokea kwenye chama hicho ni matokeo ya kupuuza ushauri wake.
Mbowe amewekewa pingamizi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, ambaye pia ni mgombea wa nafasi...
9 years ago
Habarileo27 Aug
Pingamizi la Chadema Singida lakosa mashiko
PINGAMIZI lililokuwa limewekwa na mgombea wa ubunge Jimbo la Singida Mjini kupitia Chadema dhidi ya mgombea wa CCM limetupiliwa mbali kutokana na kukosa mashiko.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Pingamizi la Chadema Kalenga latupiliwa mbali