Pingamizi dhidi ya Profesa Maghembe latupwa
Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Mwanga ametupilia mbali pingamizi zilizowekwa na mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema, Henry Kileo dhidi ya wagombea wenzake wawili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Sep
Pingamizi la AG dhidi ya wanasheria, Kubenea latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) dhidi ya kesi ya kikatiba inayohoji uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Pingamizi la Mbarouk dhidi ya Nundu latupwa kortini
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Profesa Maghembe awekewa pingamizi
11 years ago
Michuzi20 Feb
PINGAMIZI LA CHADEMA DHIDI YA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA LATUPWA
Lile pingamizi lililokuwa limewekwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya mgombea ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limetupwa.
Katika pingamizi lao lilowasilishwa juzi, Chadema walikuwa wanapinga Godfrey Mgimwa kugombea ubunge kupitia CCM kama alivyoomba kwa kuwa sio raia wa Tanzania.
Tetesi za tatizo la uraia wa Godfrey Mgimwa zilisambaa mjini Iringa baada ya Chadema kuweka pingamizi hilo.
Katika Pingamizi...
10 years ago
Habarileo18 Sep
Pingamizi la Mwanasheria Mkuu latupwa
PINGAMIZI la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo25 Nov
Pingamizi kuaga mwili wa Mawazo latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupa pingamizi lililowekwa na Serikali katika shauri la kuzuia kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo aliyeuawa hivi karibuni na watu wasiojulikana.
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Nyalandu: Msaidieni Profesa Maghembe
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
“Watendaji ni kiungo muhimu kwa waziri kutekeleza majukumu yake, ni matumaini yangu mtampa ushirikiano katika hili,” alisema.
Nyalandu alisema ushirikiano huo utawezesha rasilimali za nchi kama misitu na wanyama kuendelea kuwapo na kutumika kwa njia endelevu.
Alisema umuhimu wa wizara kuendelea kutangaza vivutio vya utalii ili kuhakikisha malengo katika sekta hiyo unazidi kufikiwa.
“Wizara hii ina watendaji wema na wanaojitolea kutimiza majukumu yao, kuna...
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Chadema, NCCR kumnufaisha Profesa Maghembe
HALI ya kuvurugana kati ya wagombea wawili wa vyama vya vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (
Paul Sarwatt
11 years ago
Habarileo14 Dec
Profesa Maghembe ajivunia mafanikio miradi ya maji
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe amesema wabunge watapewa nakala za taarifa za miradi ya maji inayotekelezwa mijini ambapo kumekuwa na mafanikio makubwa katika utekelezaji wake.