Pingamizi kuaga mwili wa Mawazo latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupa pingamizi lililowekwa na Serikali katika shauri la kuzuia kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo aliyeuawa hivi karibuni na watu wasiojulikana.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Polisi: Marufuku kukusanyika kuaga mwili wa Mawazo
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-TBROLXrsvxU/VlznP7mQnXI/AAAAAAAAXVE/NeTFKbLRwhc/s72-c/12313746_418058061720131_2182243410750664304_n.jpg)
MAMIA YA WAKAZI WA BUSANDA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO
9 years ago
StarTV25 Nov
Mahakama kuu Mwanza yaahirisha kesi Kuaga Mwili Wa Alphonce Mawazo
Mahakama kuu Kanda ya Mwanza imeahirisha kesi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo kupinga amri ya Polisi kuzuia mwili wake usiagwe jijini Mwanza.
Kesi hiyo namba 11 ya mwaka 2015 ambayo imefunguliwa mchana wa leo ikisimamiwa na wakili James Milya na John Malya kutoka Chadema na itatajwa tena Novemba 25 mwaka huu
Mapema asubuhi mahakama kuu kanda ya Mwanza imeruhusu maombi ya baba mdogo wa...
9 years ago
StarTV24 Nov
Chadema yafungua kesi ya madai  kuhusu Zuio La Kuaga Mwili Wa Mawazo
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimefungua kesi ya madai katika mahakama kuu kanda ya Mwanza kutengua zuio la jeshi la polisi mkoani humo kuzuia wafuasi wa chama hicho wasiuage mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita.
Kesi hiyo namba 10 ya mwaka 2015 imefunguliwa kwa hati ya dharura sana kwa niaba ya mlalamikaji mchungaji Charles Lugiko ambaye ni baba mlezi wa marehemu.
Katika mahakama kuu kanda ya Mwanza wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-GakCDLVpI8c/VlCFtDsnI9I/AAAAAAAAXKM/fuSfDOx-E2I/s72-c/FB_IMG_1448116123927.jpg)
JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO
9 years ago
MichuziKILICHOJIRI MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KUHUSU HATMA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA
10 years ago
Habarileo18 Sep
Pingamizi la Mwanasheria Mkuu latupwa
PINGAMIZI la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo23 Sep
Pingamizi la AG dhidi ya wanasheria, Kubenea latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) dhidi ya kesi ya kikatiba inayohoji uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Pingamizi dhidi ya Profesa Maghembe latupwa