JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO
![](http://2.bp.blogspot.com/-GakCDLVpI8c/VlCFtDsnI9I/AAAAAAAAXKM/fuSfDOx-E2I/s72-c/FB_IMG_1448116123927.jpg)
Viongozi wa Chadema wakijadiliana baada ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo, zilizokuwa zifanyike Jijini Mwanza. Pichani baadhi ya vijana walioshiriki kuchimba kaburi la marehemu Alphonse Mawazo anayetarajia kuzikwa kijijini kwao alipozaliwa Mkoani Geita.
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Polisi: Marufuku kukusanyika kuaga mwili wa Mawazo
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-TBROLXrsvxU/VlznP7mQnXI/AAAAAAAAXVE/NeTFKbLRwhc/s72-c/12313746_418058061720131_2182243410750664304_n.jpg)
MAMIA YA WAKAZI WA BUSANDA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO
9 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI MBEYA LAPIGA MARUFUKU KWENDA KUPIGA KURA UKIWA UMEVAA SARE ZA VYAMA
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limetoa rai kwa wafuasi wa vyama vishiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu kujiepusha kufika katika kituo cha kupigia kura wakiwa wamevaa nguo zenye picha za wagombea, maneno au nembo ama rangi za chama cha siasa.
Aidha wametakiwa , kuepuka kutumia uvumi, maneno ya uongo, hisia au visingizio vyenye lengo la kuwazuia wengine kwenda kupiga kura.
Pia amewataka kuepuka kufanya kampeni katika kituo cha kupigia kura iwe kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-YhH1MP6N960/Vc1s1ujJUFI/AAAAAAABE9M/3eqrHzgb4xk/s72-c/POLISI%2BLOGO.jpg)
JESHI LA POLISI NCHINI LAPIGA MARUFUKU MISAFARA YA KWENDA KUCHUKUA FOMU NEC PAMOJA NA KUSAKA WADHAMINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-YhH1MP6N960/Vc1s1ujJUFI/AAAAAAABE9M/3eqrHzgb4xk/s640/POLISI%2BLOGO.jpg)
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-yXJqfF5vxgk/Vln25cvZOHI/AAAAAAAAXSk/UjvpsXUKb_k/s72-c/FB_IMG_1448735001893.jpg)
HATIMAYE MWILI WA ALPHONSE MAWAZO WAAGWA MWANZA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-y_rdZVeavOg/Vd1p2qzz0wI/AAAAAAAAAhI/eI4rLJASmb8/s72-c/polisi.jpg)
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAPIGA MARUFUKU WAGOMBEA WA VYAMA VYA SIASA KU FANYA VITENDO VINAVYOHATARISHA USALAMA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-y_rdZVeavOg/Vd1p2qzz0wI/AAAAAAAAAhI/eI4rLJASmb8/s1600/polisi.jpg)
Kutokana na uzoefu uliojitokeza katika ziara hizo zisizo rasmi ni kwamba...
9 years ago
StarTV07 Nov
Jeshi la Polisi nchini lapiga marufuku maandamano ya vyama vya Siasa nchini.
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku ombi la maandamano la baadhi ya vyama vya siasa nchini baada ya uchunguzi wake kubaini kuwepo na mihemko ya kisiasa ndani ya jamii inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.
Kutokana na hali hiyo, jeshi hilo linasema litaendelea kushikilia msimamo wake wa awali wa kuzuia mikutano na maandamano yeyote mpaka hali itakapotengemaa.
Kauli ya Jeshi imefatia baada ya baadhi ya vyama vya siasa kuwasilisha kuwasilisha ombi la kufanya mikutano ya hadhara na...
9 years ago
Habarileo25 Nov
Pingamizi kuaga mwili wa Mawazo latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupa pingamizi lililowekwa na Serikali katika shauri la kuzuia kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo aliyeuawa hivi karibuni na watu wasiojulikana.