Muhongo: Nitaendesha nchi kwa uchumi wa gesi
>Mbunge wa kuteuliwa, Profesa Sospeter Muhongo ameeleza jinsi atakavyoondoa umaskini nchini kwa kutumia uchumi wa gesi endapo atapitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwania urais.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
MGOGORO WA UCHUMI WA GESI: Usaliti kwa wenye nchi
NI kawaida kwa baadhi ya viongozi wenye dhamana ya utekelezaji wa shughuli za serikali kuwa na jeuri, kiburi na dharau. Ni kawaida ya baadhi ya wasomi kuwa na majivuno mbele...
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Chokala: Nitaendesha nchi kwa reli, bandari
10 years ago
Michuzi17 Apr
10 years ago
Michuzi11 Mar
10 years ago
YkileoUHALIFU MTANDAO NI TISHIO KWA UCHUMI WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Akitolea Ufafanuzi kauli hiyo Meneja wa PwC bwana. John Kamau alieleza uhalifu mtandao umeendelea kutengeneza vichwa vya habari nabado utaendelea kufanya hivyo kwa muda. Na kwa sasa tayari uhalifu huu umeingia katika...
9 years ago
StarTV09 Oct
Mgufuli ahidi kuboresha uchumi wa nchi kwa kuondoa vikwazo Tanzania na Kenya
Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amesema atakapoingia madarakani atahakikisha anasimamia fursa zilizopo za kibiashara baina ya nchi jirani ya Kenya kwa kuondoa vikwazo kwa lengo la kuimarisha uchumi wa nchi hizo mbili.
Kenya ni moja ya nchi ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi,hivyo kufunguliwa kwa fursa za kibiashara kutasaidia kukuza uchumi wa nchi zote mbili.
Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu,vyama...
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Gesi kumbeba Muhongo mbio za Urais
11 years ago
Habarileo21 Jun
Utafiti wa gesi Z. Tanganyika kazi ngumu-Muhongo
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema utafiti wa mafuta na gesi katika Ziwa Tanganyika ni mgumu kama wa baharini, tofauti na utafiti kama huo katika nchi kavu.
11 years ago
MichuziProf. Muhongo kuongoza kongamano la mafuta na gesi Ujerumani
Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano litakalofanyika kesho Berlin nchini Ujerumani ambapo atawasilisha mada kuhusiana na fursa za uwekezaji nchini Tanzania hususan katika sekta ya mafuta na gesi.
Kongamano hilo litakaloshirikisha wasomi mbalimbali litaenda sambamba na maonesho yatakayooneshwa na wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini kama moja ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 50 ya...