Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgufuli ahidi kuboresha uchumi wa nchi kwa kuondoa vikwazo Tanzania na Kenya

Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amesema atakapoingia madarakani atahakikisha  anasimamia fursa zilizopo za kibiashara baina ya nchi jirani ya Kenya kwa kuondoa vikwazo kwa lengo la kuimarisha uchumi wa nchi hizo mbili.

Kenya ni moja ya nchi ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi,hivyo kufunguliwa kwa fursa za kibiashara kutasaidia kukuza uchumi wa nchi zote mbili.

Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu,vyama...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vya ajira’

KATIBU wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Nicholaus Mgaya, amesema Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vyote vya ajira kutokana na kutokamilika uhakiki wa wafanyakazi wote na mahitaji yaliyopo....

 

9 years ago

Mwananchi

Tuzo za kampuni 100 bora zilivyoibua vikwazo vya kukua uchumi Tanzania

Miaka 30 baada ya Tanzania kufanya mabadiliko ya kiuchumi kwa kuruhusu uchumi huria unaoshirikisha sekta binafsi, idadi ya kampuni binafsi nazo imeongezeka kwa kasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro huu wa Tanzania, Kenya ni hasara kwa uchumi

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete na mwenzake wa Kenya, Uhuru Kenyatta wamefanikiwa kuondoa sintofahamu iliyoibuka kati ya nchi hizo mbili na kutishia kuvuruga sekta ya utalii ambayo inayoingiza fedha nyingi za kigeni.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA MAWASILINANO YA SIMU YATAKIWA KUBORESHA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAO ILI KUONDOA MALALAMIKO

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akifungua semina ya kuwaelimisha na kuwahamasisha watumiaji wa Huduma za Mawasiliano iliyoandaliwa na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA-CCC) katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya Desemba 15 -2015. Wananchi na baadhi ya watumishi wa serikali na mashirika binafsi wakisikiliza kwa Makini Hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro katika semina ya kuwaelimisha na kuwahamasisha watumiaji wa huduma za Mawasiliano Mkoa wa Mbeya Desemba 15...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK ataka msaada ESRF kuondoa umaskini kwenye uchumi unaokua kwa kasi kubwa

DSC_0039

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)  nchini , Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi kwa kutumia fursa zilizopo na maendeleo yanayogusa jamii uliofanyika jana jijini Dar katika hoteli ya Hyatt Regency,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maduro aitaka Marekani kuondoa vikwazo

Rais Nicholas Maduro wa Venezuela anampelekea barua rais Obama kumtaka awaondolee vikwazo maafisa wa nchi yake.

 

11 years ago

Mwananchi

EAC watakiwa kuondoa vikwazo vipya

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera amezitaka nchi wanachama kuondoa vikwazo vipya vya biashara kwenye mitaji, bidhaa na huduma vilivyoanzishwa baada ya kuanza utekelezaji wa soko la pamoja miongoni mwa nchi wanachama.

 

10 years ago

GPL

JK ATAKA MSAADA ESRF KUONDOA UMASKINI KWENYE UCHUMI UNAOKUA KWA KASI KUBWA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini , Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi kwa kutumia fursa zilizopo na maendeleo yanayogusa jamii...

 

10 years ago

Mwananchi

Sadc watakiwa kuondoa vikwazo vya kibiashara

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo (Sadc) zimetakiwa kuondolewa kanuni na vikwazo vinavyokwamisha biashara baina ya nchi hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani