Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EAC watakiwa kuondoa vikwazo vipya

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera amezitaka nchi wanachama kuondoa vikwazo vipya vya biashara kwenye mitaji, bidhaa na huduma vilivyoanzishwa baada ya kuanza utekelezaji wa soko la pamoja miongoni mwa nchi wanachama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sadc watakiwa kuondoa vikwazo vya kibiashara

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo (Sadc) zimetakiwa kuondolewa kanuni na vikwazo vinavyokwamisha biashara baina ya nchi hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

EAC yatakiwa kuondoa vikwazo vya ajira

Serikali za nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimeshauriwa kuondoa vikwazo vya ajira kwa walimu wa masomo ya Kiingereza, Kifaransa na Kiswahili ili kusaidia kukuza sekta ya elimu kwa nchi wanachama.

 

10 years ago

Mwananchi

Vikwazo vipya safari ya matumaini

>Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuomba ridhaa ya Chadema kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, lakini anakabiliana na vikwazo vinne kabla hajafanikiwa kuongoza upinzani kutwaa madaraka kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maduro aitaka Marekani kuondoa vikwazo

Rais Nicholas Maduro wa Venezuela anampelekea barua rais Obama kumtaka awaondolee vikwazo maafisa wa nchi yake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vya ajira’

KATIBU wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Nicholaus Mgaya, amesema Tanzania bado haijaridhia kuondoa vikwazo vyote vya ajira kutokana na kutokamilika uhakiki wa wafanyakazi wote na mahitaji yaliyopo....

 

9 years ago

StarTV

Mgufuli ahidi kuboresha uchumi wa nchi kwa kuondoa vikwazo Tanzania na Kenya

Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amesema atakapoingia madarakani atahakikisha  anasimamia fursa zilizopo za kibiashara baina ya nchi jirani ya Kenya kwa kuondoa vikwazo kwa lengo la kuimarisha uchumi wa nchi hizo mbili.

Kenya ni moja ya nchi ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi,hivyo kufunguliwa kwa fursa za kibiashara kutasaidia kukuza uchumi wa nchi zote mbili.

Kadri siku zinavyojongea kufanyika kwa uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu,vyama...

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuondoa migogoro ya ardhi

VIONGOZI wa dini wametakiwa kusaidiana na Serikali, kuondoa migogoro ya ardhi inayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema makanisa na misikiti itumike vizuri kutatua matatizo ya migogoro ya ardhi.

 

10 years ago

Michuzi

WAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika Kata ya Olosokwani, Loliondo wilayani Ngorongoro, juzi. Mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) ambayo imewekeza wilayani humo. Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na Balozi wa UAE nchini Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk.
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akijindaa kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa Kata ya Olosokwani, ambako alizindua mradi...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA SIKU YA WANAWAKE WA EAC ILIVYOAZIMISHWA MAKAO MAKUU YA EAC JIJINI ARUSHA


Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki EALA akitoa mada kwenye Kongamano hilo
Meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa
Jaji Mstaafu wa mahakama ya Rufani na Mwenyekiti Mstaafu wa TAWLA Eusebia Munuo akitoa Mada na hotuba kwenye Kongamano hilo.
Wanawake wakifuatilia mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku yao inaotarajiwa kuazimishwa kesho kote ulimwenguni.
Tunafuatilia mada kwa makini
Mada zikifuatiliwa kwa umakini mkubwa kwenye Kongamano hilo la maadhimisho ya siku ya wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani