WAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika Kata ya Olosokwani, Loliondo wilayani Ngorongoro, juzi. Mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) ambayo imewekeza wilayani humo. Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na Balozi wa UAE nchini Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akijindaa kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa Kata ya Olosokwani, ambako alizindua mradi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV15 Dec
Wafugaji Wilayani Serengeti waiomba serikali kuwarejeshea Eneo La Kuchungia Mifugo yao
Wafugaji wa vijii vinavyopakana na Hifadhi ya Serengeti katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wameiomba Serikali kuwarejeshea eneo la Kawanga walilokuwa wanalitumia kuchungia mifugo yao, ambalo lilichukuliwa na Serikali na kumpatia mwekezaji bila ya wao kushirikishwa.
Wakitoa kero zao kwa mbunge wa Jimo la Bunda, Boniphace Mwita, wakazi wa vijiji hivyo wameiomba Serikali kuwadhibiti wanyama aina ya Tembo, wanaotoka katika Hifadhi ya Serengeti ambao wamekuwa kero kubwa kutokana na kuvamia...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wafugaji watakiwa kuzalisha mifugo bora
SERIKALI imewataka wafugaji kuzalisha mifugo bora na kuivuna kwa wakati, ili kukidhi mahitaji ya viwanda vya kusindika nyama vilivyopo. Wito huo ulitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Mendeleo ya...
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Wafugaji wazuiwa kuogesha mifugo yao Mto Malagarasi
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Wafugaji Loliondo waondolewa hofu
SERIKALI imewatoa hofu jamii ya wafugaji wa kimasai waishio Tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro juu kuwepo kwa taarifa za kuwaondoa katika eneo wanaloishi na kuligawa kwa mwekezaji kutoka Falme za...
9 years ago
MichuziWALIOVAMIA SOKO LA TANDALE KUBOMOLEWA MAJENGO YAO
Serikali imewataka wananchi waliojenga nyumba zao ndani ya soko la Tandale ambalo lipo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam kuzibomoa na kuacha mipaka yote ya soko hilo wazi, na imewapa siku saba kufanya hivyo kabla ya majengo hayo kubomolewa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George Simbachawene ameyasema hayo tarehe 22 Desemba wakati alipofanya ziara yake katika Manispaa tatu za jiji la Dar es salaam kwa ajili ya kujionea hali ya usafi...
10 years ago
Habarileo01 Jun
‘Tumieni mifugo kuondoa umasikini’
WAJASIRIAMALI Kanda ya Ziwa wametakiwa kutumia wataalamu wa halmashauri na fursa ya kuwepo mifugo na mazao ya kilimo kwa wingi katika mikoa yao kusindika, kuuza na kuondokana na tatizo la umasikini.
10 years ago
Vijimambo23 Nov
Sakata la ardhi Loliondo: Wafugaji sasa watishia kuinyima kura CCM
Wamesema malengo hayo ya waziri yakitekelezwa wapo tayari kurudisha kadi zote za CCM na kuwaeleza wananchi wao katu wasiwapigie kura wagombea wote wa chama hicho.
Walisema serikali kupitia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wafugaji wapinga Sheria ya Mifugo
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
THRDC watoa tamko kwa umma juu ya hali ya watetezi wa haki za wafugaji Loliondo
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu THRDC Taifa, Bw. Onesmo Olengurumwa, akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la kulaani vikali kutishwa kwa watetezi wa haki za wafugaji walioko Loliondo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo uliofanyika kwenye ofisi za kituo hicho jijini Dar es Salaam.
tamko loliondo chragg kiswahili.doc by moblog