WALIOVAMIA SOKO LA TANDALE KUBOMOLEWA MAJENGO YAO
Serikali imewataka wananchi waliojenga nyumba zao ndani ya soko la Tandale ambalo lipo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam kuzibomoa na kuacha mipaka yote ya soko hilo wazi, na imewapa siku saba kufanya hivyo kabla ya majengo hayo kubomolewa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George Simbachawene ameyasema hayo tarehe 22 Desemba wakati alipofanya ziara yake katika Manispaa tatu za jiji la Dar es salaam kwa ajili ya kujionea hali ya usafi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Majengo ya kifahari Moshi kubomolewa
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO
11 years ago
Habarileo26 Jun
Nyumba 700 kubomolewa Arusha
ZAIDI ya nyumba 700 zilizopo kando ya barabara ya Arusha-Moshi, zitabomolewa kupisha ujenzi wa barabara ya kutoka Arusha hadi mpaka wa Holili, kwa upande wa Tanzania na Taveta hadi Voi nchini Kenya.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Waliovamia maeneo kufanyiwa tathmini
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Walia kubomolewa vibanda usiku
WAFANYABIASHARA wa eneo la Sabasaba katika mji wa Tarime, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha kikatili kilichofanywa na mkurugenzi wa halmashauri ya mji huo cha kubomoa vibanda vyao usiku bila kuwataarifu....
9 years ago
Habarileo19 Aug
‘Waliovamia njia za DART waondoke’
WAFANYABIASHARA na watu wengine wanaotumia njia za mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) kwa shughuli zao wameamriwa kuondoka mara moja kwenye maeneo hayo.
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Wakazi 3,000 Arumeru kubomolewa makazi
10 years ago
MichuziJENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.
Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es SalaamUwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka...
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Polisi: Waliovamia Amboni, Tanga ni wahuni
Na Amina Omari na Oscar Assenga, TANGA
KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, amesema watu waliopambana na askari polisi na wale wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) ni kikundi cha wahuni.
Harakati za mapambano baina ya polisi na wahalifu hao zilidumu kwa takribani saa 48, huku Mkuu wa Mkoa huo, Said Magalula akikiri kwamba wameshindwa kuwakamata watu hao.
Jana Ndaki aliwaambia waandishi wa habari kuwa, jeshi hilo linawashikilia watu kadhaa kutokana na tukio la majambazi kushambiliana na...