Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walia kubomolewa vibanda usiku

WAFANYABIASHARA wa eneo la Sabasaba katika mji wa Tarime, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha kikatili kilichofanywa na mkurugenzi wa halmashauri ya mji huo cha kubomoa vibanda vyao  usiku bila kuwataarifu....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jiji lavunja vibanda usiku wa manane Mbeya

>Wafanyabiashara ndogondogo ‘Machinga’ wa jijini Mbeya jana  walijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kufika maeneo yao ya biashara na kukuta vibanda vyao vimevunjwa usiku.

 

9 years ago

Mwananchi

Majengo ya kifahari Moshi kubomolewa

Majengo ya kifahari yaliyojengwa ndani ya mita 60 kutoka kwenye vyanzo vya maji katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yanatarajiwa kubomolewa wakati wowote kuanzia kesho.

 

11 years ago

Habarileo

Nyumba 700 kubomolewa Arusha

ZAIDI ya nyumba 700 zilizopo kando ya barabara ya Arusha-Moshi, zitabomolewa kupisha ujenzi wa barabara ya kutoka Arusha hadi mpaka wa Holili, kwa upande wa Tanzania na Taveta hadi Voi nchini Kenya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vibanda 189 vyateketea Arusha

MOTO mkubwa umeteketeza vibanda 189 vinavyouza bidhaa za asili zinazotengenezwa kwa ngozi, shanga na vinyago vya kuchonga vilivyoko eneo la Mount Meru curios & crafts maarufu kama Maasai Market. Baadhi...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakazi 3,000 Arumeru kubomolewa makazi

Zaidi ya wakazi 3,000 wa Kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, wameamriwa na Mamlaka ya Bonde la Pangani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni kubomoa nyumba zao kwa kujenga kwenye chanzo cha maji.

 

10 years ago

Michuzi

JENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.JENGO la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam linatarajiwa kubomolewa kwa kuwa linadaiwa kujengwa chini ya kuiwango.


 Amri hiyo imetolewa na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam

Uwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka...

 

9 years ago

Mtanzania

Nyumba 5,000 kubomolewa Dar es salaam

bomoaRuth Mnkeni na Elizabeth Nyambele, Dar es Salaam

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepanga kubomoa nyumba zaidi ya 5,000 za wakazi wa Jiji wa Dar es Salaam zilizojengwa kinyume na utaratibu na zilizo katika maeneo hatarishi.

Mpango wa kubomoa nyumba hizo ulitangazwa jana na mwanasheria wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Manchare Suguta, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Bonge la Mkwajuni ambako jana shughuli ya ubomoaji ilikuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wafanyabiashara ondoeni vibanda stendi ya Ubungo’

WAFANYABIASHARA wenye vibanda vya kukatia tiketi katika stendi ya Ubungo, ambako mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) unaendelea, wametakiwa kuviondoa ili kupisha ujenzi wa mradi huo. Katibu Mkuu Ofisi ya...

 

11 years ago

Habarileo

CDA wavunja vibanda vya biashara

MAMLAKA ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imebomoa vibanda vya biashara vilivyojengwa kando ya barabara katika maeneo ya Nkuhungu, Manispaa ya Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani