Nyumba 5,000 kubomolewa Dar es salaam
Ruth Mnkeni na Elizabeth Nyambele, Dar es Salaam
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepanga kubomoa nyumba zaidi ya 5,000 za wakazi wa Jiji wa Dar es Salaam zilizojengwa kinyume na utaratibu na zilizo katika maeneo hatarishi.
Mpango wa kubomoa nyumba hizo ulitangazwa jana na mwanasheria wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Manchare Suguta, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Bonge la Mkwajuni ambako jana shughuli ya ubomoaji ilikuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
Tahadhari Ya Mvua Dar  Nyumba zilizo sehemu hatarishi zaanza kubomolewa
Serikali imeanza kuchukua tahadhari ya mvua zilizoanza kunyesha mwezi huu kwa kubomoa nyumba na kuwaondoa watu wote wanaoishi mabondeni ili kuepusha maafa yanayoweza kujitokeza.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na baraza la usimamizi na uhifadhi wa mazingira NEMC wameanza kubomoa nyumba zote zilizoko katika sehemu hatarishi na zisizoruhusiwa kwa makazi ya watu.
Sehemu mojawapo katika bonde la Msimbazi eneo ambalo husababisha maafa pindi mvua zinapoanza...
11 years ago
Habarileo26 Jun
Nyumba 700 kubomolewa Arusha
ZAIDI ya nyumba 700 zilizopo kando ya barabara ya Arusha-Moshi, zitabomolewa kupisha ujenzi wa barabara ya kutoka Arusha hadi mpaka wa Holili, kwa upande wa Tanzania na Taveta hadi Voi nchini Kenya.
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Wakazi 3,000 Arumeru kubomolewa makazi
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Nyumba 3,000 Dar zawekwa alama ya X
RUTH MNKENI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
ZOEZI la uwekaji wa alama ya X katika nyumba zilizojengwa mabondeni jana liliendelea, huku nyumba zaidi ya 3,000 zilizojengwa katika Bonde la Mto Msimbazi ziliwekewa X tayari kwa ajili ya kubomolewa.
Tangu kuanza kwa zoezi hilo la uwekaji wa alama hiyo katika nyumba zilizojengwa kando ya mto na kwenye hifadhi ya bahari, zaidi ya nyumba 5,000 zimeshawekewa X.
Kutokana na idadi hiyo huwenda nyumba zaidi ya 8,000 zikakumbwa na bomoabomoa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mg02eWw3-hw/VBOJuSS8eKI/AAAAAAABIm4/DJKFAY0ugmw/s72-c/IMG-20140826-WA0006.jpg)
NYUMBA ZINAPANGISHWA PUGU JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-mg02eWw3-hw/VBOJuSS8eKI/AAAAAAABIm4/DJKFAY0ugmw/s1600/IMG-20140826-WA0006.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wY5fI1yzqzs/VBOJu9tzbtI/AAAAAAABInA/730jfkkbbXU/s1600/IMG-20140826-WA0010.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PQXIgAI3UEE/VBOJvpd8PEI/AAAAAAABInM/dSS6EqGH5po/s1600/IMG-20140826-WA0013.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0yPyAzAnDNo/VBOJwgP7ksI/AAAAAAABInc/DOEMzGFcWS0/s1600/IMG-20140826-WA0015.jpg)
ENEO: Nyumba ipo PUGU-Umbali wa mita 100 toka Barabara Kuu ya lami. Nyumba 3 za familia zipo ndani ya eneo moja kila moja inajitegemea.
UKUBWA: Kila moja ina vyumba 3 vya kulala, jiko, siting room kubwa na daining ya kutosha.
UMEME: Kila moja inatumia Mita ya Luku kwa kujitegemea. pamoja na maji. PAKING: Eneo kubwa kwa zaidi ya magari 5 kwa wakati mmoja.
BEI. Ni maelewano kuanzia miezi 6 au zaidi kutegemea hitaji la mteja. kwa mawasiliano:...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TGMLK1NbVlM/VELvLteWKEI/AAAAAAAGry4/PKQ12XEvkUI/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
nyumba inauzwa tabata mawenzi, Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-TGMLK1NbVlM/VELvLteWKEI/AAAAAAAGry4/PKQ12XEvkUI/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-J1KuMNZ4gd8/U5dwf2_IUWI/AAAAAAAFpo0/wfMo_dYntrM/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/2n1dS650TD8/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MPoum4J5GZY/default.jpg)