Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


nyumba inauzwa tabata mawenzi, Dar es salaam

 Ina nyumba mbili ndani kubwa na ndogo na zote zipo ndani ya fensi na kila moja inajitegemea luku yake na zote mbili system ya maji inafanya kazi safi kabisa na ndani kuna kisima cha maji cha umeme na kuna matanki mawili moja lina lita 5000 na lingine lita 2000 na maji yake yananyweka hayana chumvi.Nyumba kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room kubwa, wakati nyumba ya nyuma ina chumba sebule na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL YATEMBELEA MITAA YA AMANI, MAWENZI TABATA, DAR

Barabara  hii iliyoko Mtaa wa Mawenzi inapitika kwa shida kwa kujaa tope. Mwendesha bodaboda akipenya katika njia iliyojaa vikwazo vya kila aina.…

 

11 years ago

Michuzi

house for rent at TABATA Changombe in Dar es salaam

 The House is Located at TABATA Changombe in Dar es salaam next to African Schools.It is fenced with masonry wall fully paintedIt has 4 bedrooms i.e. 1master bedroom and 3 normal rooms, Sitting room, dinning room, kitchen and storage room a separate shower and washroom.In addition is posses an elevated 5,000ltrs water storage tank and 5,000 ground level water stoarge tank.It has a spacious compound;For more detail and viewing please contact the following numbers;+255 755 755055 or +255 766...

 

9 years ago

Michuzi

NYUMBA INAUZWA

Nyumba ya kisasa inayouzwa jijini Arusha, ipo maeneo ya Njiro Block CBei maelewano kwa anayeihitaji. Kwa Maelezo zaidi piga simu +255 759 929 271 
Ni Nyumba ya kuishi familia na iko vizuri kabisa.Muonekano wake kwa upande wa juuMuonekano wake kwa upande wa pembeni.inavyoonekana Ndani.Bustani.

 

11 years ago

Michuzi

Nyumba inauzwa Iringa

Nyumba  hii   ipo katika hali nzuri  na  kuna  wapangaji wanaishi ipo Mkimbizi kata ya Mtwivila mjini  Iringa umbali wa Km 4 kutoka barabara kuu ya Iringa-Dodoma
Sifa  zake> Ina vyumba  vitatu  vya kulala, choo cha  ndani, stoo,jiko na Sebule kubwa>Hati  ipo nyumba   ipo na  vielelezo vyote nyeti vipo>Eneo ambalo  limejengwa ni alisimia 30  ya  uwanja > uwanja una  ukubwa wa Skwea mita 525 >Maji na umeme  upo> Barabara inafika hapa nyumbani Nyumba  hii  ilikukuwa ikiuzwa  Tsh milioni 60...

 

9 years ago

Michuzi

UJASIRI WA WANASHERIA WASAIDIA KUPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA JINSIA SOKO LA TABATA MUSLIM JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu wa soko la Tabata Muslim lililopo Manispaa ya Ilala, John Nombo (kushoto),  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kupungua kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG), kutoa mafunzo ya kupinga ukatili huo katika masoko sita ya Manispaa hiyo. Kulia ni Mwezeshaji wa Sheria wa Soko hilo, Aisha Juma na  Saada Ngunde. Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Saada Ngande akizungumza...

 

10 years ago

GPL

SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR ES SALAAM YAUNGANISHIWA VIFAA MAALUM VYA KUJIFUNZIA MASOMO KUPITIA KOMPYUTA

Mkuu wa taasisi ya Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akishirikiana na wasimamizi wa mradi wa kompyuta mashuleni Meelis Kuuskler (katikati) pamoja na Julius Giabe kuunganisha kifaa cha kujifunzia masomo  kupitia kompyuta  katika shule ya sekondari Kinyerezi  ya Tabata jijini Dar es Salaam.  Mradi huo unaendeshwa na Learning In Sync  chini ya Vodacom Foundation.… ...

 

11 years ago

GPL

NYUMBA INAUZWA MIL 200, IPO MBEZI

-Ipo Mbezi Mwisho karibu na Mbezi High School
-5 Km kutoka barabara ya Morogoro
-Ina eneo la hekta mbili na nusu
-Ina vyumba 4 vya kulala, 3 Master…

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YA GOROFA MOJA INAUZWA MBEZI BEACH

NYUMBA NZURI YA GOROFA MOJA, ILIYOPO MBEZI BEACH GOIG JIJINI DAR ES SALAAM INAUZWA. IKO MTAA WA PILI KUTOKA BARABARA KUU (BAGAMOYO ROAD). INA HATI, UMEME, MAJI NA CAR PARKING YA KUTOSHA. Kwa mazungumzo ya bei na maelezo zaidi, piga simu namba:…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani