Nyumba inauzwa Iringa
Nyumba hii ipo katika hali nzuri na kuna wapangaji wanaishi ipo Mkimbizi kata ya Mtwivila mjini Iringa umbali wa Km 4 kutoka barabara kuu ya Iringa-Dodoma
Sifa zake> Ina vyumba vitatu vya kulala, choo cha ndani, stoo,jiko na Sebule kubwa>Hati ipo nyumba ipo na vielelezo vyote nyeti vipo>Eneo ambalo limejengwa ni alisimia 30 ya uwanja
> uwanja una ukubwa wa Skwea mita 525
>Maji na umeme upo> Barabara inafika hapa nyumbani
Nyumba hii ilikukuwa ikiuzwa
Tsh milioni 60...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8ANXAAbiuxA/VmVttljEXsI/AAAAAAAIKrU/g3TwfaEMHso/s72-c/0b73abcc-8c9d-47b2-a4b2-7ecc265dda69.jpeg)
NYUMBA INAUZWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-8ANXAAbiuxA/VmVttljEXsI/AAAAAAAIKrU/g3TwfaEMHso/s640/0b73abcc-8c9d-47b2-a4b2-7ecc265dda69.jpeg)
Ni Nyumba ya kuishi familia na iko vizuri kabisa.
![](http://3.bp.blogspot.com/-PRCwpJTjDzY/VmVtutW82EI/AAAAAAAIKrg/atLqrqREO3c/s640/5d70a293-0de1-4e2f-ae21-3b4e16981954.jpeg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Rs-KiF7xxP8/VmVtutTMK4I/AAAAAAAIKrc/tq0tCOgdFzg/s640/81b4d7f8-4227-49f2-a3bb-81752c8dee0d%2B%25281%2529.jpeg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-KhQ0WAi8K7c/VmVtx21deGI/AAAAAAAIKr0/FWmxj66_qM0/s640/a9bd7518-78aa-40a8-80a5-1c172d26fd54.jpeg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yzOShzIOX5I/VmVtyv3wJMI/AAAAAAAIKr4/goEl3CkYpH8/s640/e3691a8c-fea0-40d6-899a-80f7876126e5.jpeg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TGMLK1NbVlM/VELvLteWKEI/AAAAAAAGry4/PKQ12XEvkUI/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
nyumba inauzwa tabata mawenzi, Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-TGMLK1NbVlM/VELvLteWKEI/AAAAAAAGry4/PKQ12XEvkUI/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL9nydczIBShpr0ZqVx50HqC7oVWMPNy4oDPII9P-sPDPfYcclGfv2j2cXK4zTVpoNtYM05BKfPlDZ3FiOf38BWS/Tangazo.jpg?width=750)
11 years ago
MichuziNYUMBA INAUZWA GONGO LA MBOTO MWISHO WA LAMI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKN97MPQDCZc5C1jADomNZvlPPVu6FCqUqqjRtsnuBJ5KkxjI0RgBwIQJ6xAvraFk2yFriwq9xNK6P5RnibEMa2W/2...jpg?width=650)
NYUMBA YA GOROFA MOJA INAUZWA MBEZI BEACH
11 years ago
GPLNYUMBA INAUZWA MIL 200, IPO MBEZI
11 years ago
Michuzi09 Apr
NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka
11 years ago
CloudsFM17 Jul
LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA
AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...