Wakazi 3,000 Arumeru kubomolewa makazi
Zaidi ya wakazi 3,000 wa Kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, wameamriwa na Mamlaka ya Bonde la Pangani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni kubomoa nyumba zao kwa kujenga kwenye chanzo cha maji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Nyumba 5,000 kubomolewa Dar es salaam
Ruth Mnkeni na Elizabeth Nyambele, Dar es Salaam
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepanga kubomoa nyumba zaidi ya 5,000 za wakazi wa Jiji wa Dar es Salaam zilizojengwa kinyume na utaratibu na zilizo katika maeneo hatarishi.
Mpango wa kubomoa nyumba hizo ulitangazwa jana na mwanasheria wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Manchare Suguta, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Bonge la Mkwajuni ambako jana shughuli ya ubomoaji ilikuwa...
9 years ago
StarTV16 Sep
Wakazi Same wahama makazi
Baadhi wa wakazi wa vitongoji vya Jitengeni, Muungano na Mvungwe wilayani Same mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuyahama makazi yao na wengine kulala juu ya miti baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji.
Mafuriko hayo yanadaiwa kusababishwa na kufunguliwa kwa maji katika Bwawa la Nyumba ya Mungu ambayo yameingia katika mto Ruvu hali iliyosababisha mto huo kujaa na maji hayo kusambaa katika makazi ya watu.
Katika hali hiyo shida na taabu kubwa ambayo imewakumba wakazi wa vitongoji vya...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mafuriko yakosesha makazi watu 7,000
TAKRIBAN wakazi 7,000 wa kata tatu zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao zinazokadiriwa kufikia 2,500 kusombwa na kumezwa na mafuriko. Mafuriko...
11 years ago
Habarileo27 Dec
Viwanja 3,000 vya makazi kuuzwa Chamwino
HALMASHAURI ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma inatarajia kuuza viwanja 3,000 kwa ajili ya makazi.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2VCDOZMJXYU/VAhmNF34IaI/AAAAAAAGd68/A8fZSzzf-ww/s72-c/bangalo%2B2.jpg)
Serikali yaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi
![](http://2.bp.blogspot.com/-2VCDOZMJXYU/VAhmNF34IaI/AAAAAAAGd68/A8fZSzzf-ww/s1600/bangalo%2B2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5CZ0U3Dtdl4/VAhmO5GnQdI/AAAAAAAGd7I/YShZXbOIhJ0/s1600/bangaloo%2B4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QJIr7rv9Eao/VAhmJFEbH9I/AAAAAAAGd6g/807l5rxpdfE/s1600/M1.jpg)
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
9 years ago
Habarileo17 Oct
Wakazi 2,000 Bagamoyo kujengewa nyumba
WAKAZI 2,080 wa maeneo ya Pande na Mlingotini wametangaziwa neema ya kujengewa nyumba za kuishi baada ya maeneo yao kuchukuliwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Zaidi ya wakazi 5,000 hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko
Choo cha muda kinachotumiwa na wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya msingi TARU namba saba. (Picha zote na Jumbe Ismailly).
Baadhi ya wananchi wa kata ya Mang’onyi wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu kumnadi mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.
Na Jumbe Ismailly, Ikungi
ZAIDI ya wakazi 5,000 wa Kijiji cha Sambaru,kata ya Mang’onyi,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida wamo hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kujisaidia vichakani kwa kutokuwa na...