Wakazi 2,000 Bagamoyo kujengewa nyumba
WAKAZI 2,080 wa maeneo ya Pande na Mlingotini wametangaziwa neema ya kujengewa nyumba za kuishi baada ya maeneo yao kuchukuliwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV08 Sep
Wakazi Ilolo waahidiwa kujengewa mradi wa maji
Changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji inayowakabili wakazi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imetajwa kubaki katika historia baada ya kuahidiwa ujenzi wa mradi mkubwa utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni mbili.
Kwa muda mrefu sasa, wakazi wa Jimbo la Kilolo hutumia muda mwingi kuipata huduma ya maji.
Ni hali ya kawaida kuiona mara tu ufikapo Ilula na katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika Wilaya ya Kilolo, shida ni namna ya upatikanaji wa huduma ya maji na kusababisha wakazi...
10 years ago
StarTV09 Jan
Wakazi Golimba Manyara waomba kujengewa Zahanati.
Na Zacharia Mtigandi,
Manyara.
Baadhi ya wakazi wanaoishi maeneo ya vijijini mkoani Manyara wanaopata huduma za matibabu kwa njia ya ndege wameiomba Serikali kuwajengea vituo vya afya na zahanati ili kuepusha vifo vinavyoweza kuepukika.
Wamesema utaratibu wa ndege kuwaletea dawa kila mwisho wa mwezi hauokoi maisha yao hasa kwa wagonjwa wanaougua magonjwa yanayohitaji matibabu ya haraka.
Wakati Serikali ikionyesha kupiga hatua kubwa katika sekta ya afya kwa kujenga hospitali, vituo vya...
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Kamachumu waomba kujengewa nyumba
BAADHI ya wananchi wa Kata ya Ibuga, Tarafa ya Kamachumu, wilayani Muleba, Kagera, wanaomba msaada kwa Watanzania wenzao wa kuwajengea nyumba ili waweze kujisitiri baada ya nyumba zao takriban 540...
11 years ago
GPLMBEYA CITY YACHARUKA ISHU YA KOCHA WAO KUJENGEWA NYUMBA NA AZAM FC
9 years ago
StarTV19 Dec
Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua
Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.
Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.
Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-J1KuMNZ4gd8/U5dwf2_IUWI/AAAAAAAFpo0/wfMo_dYntrM/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Raha kwa wakazi wa Dar es Salaam, Bagamoyo
11 years ago
Habarileo30 Mar
Mafuriko yabomoa nyumba 87 wilayani Bagamoyo
JUMLA ya kaya 87 katika kitongoji cha Biga Kata ya Mkange Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zKHIGOqXCi0/VGhfSLkq6QI/AAAAAAAGxlY/sGDBLdXwTtA/s72-c/003.BAGAMOYO.jpg)
Vodacom wasogeza huduma kwa wakazi wa mji wa kihistoria wa Bagamoyo
![](http://3.bp.blogspot.com/-zKHIGOqXCi0/VGhfSLkq6QI/AAAAAAAGxlY/sGDBLdXwTtA/s1600/003.BAGAMOYO.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-BQz8rFpSOQI/VGhfTGQ2aZI/AAAAAAAGxlo/4uuLGrdniUs/s1600/004.BAGAMOYO.jpg)