Wakazi Golimba Manyara waomba kujengewa Zahanati.
Na Zacharia Mtigandi,
Manyara.
Baadhi ya wakazi wanaoishi maeneo ya vijijini mkoani Manyara wanaopata huduma za matibabu kwa njia ya ndege wameiomba Serikali kuwajengea vituo vya afya na zahanati ili kuepusha vifo vinavyoweza kuepukika.
Wamesema utaratibu wa ndege kuwaletea dawa kila mwisho wa mwezi hauokoi maisha yao hasa kwa wagonjwa wanaougua magonjwa yanayohitaji matibabu ya haraka.
Wakati Serikali ikionyesha kupiga hatua kubwa katika sekta ya afya kwa kujenga hospitali, vituo vya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV19 Dec
Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua
Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.
Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.
Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Kamachumu waomba kujengewa nyumba
BAADHI ya wananchi wa Kata ya Ibuga, Tarafa ya Kamachumu, wilayani Muleba, Kagera, wanaomba msaada kwa Watanzania wenzao wa kuwajengea nyumba ili waweze kujisitiri baada ya nyumba zao takriban 540...
10 years ago
Habarileo05 Jan
Kwaruhombo waomba kujengewa wadi ya wazazi
WANANCHI wa kijiji cha Kwaruhombo jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wametoa kilio cha kujengewa wadi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya cha Kwaruhombo ili wanawake wajawazito wasijifungue kwenye wadi za kawaida.
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Wananchi Ilemela waomba kujengewa kituo cha polisi
10 years ago
Habarileo26 Jan
Waomba fedha ujenzi wa zahanati kukaguliwa
WANANCHI wa Kata na Kijiji cha Chanya katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wameomba Serikali kuwapatia Mkaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali awasaidie kutambua matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa zahanati ambazo hazijulikani zilipo.
9 years ago
Habarileo17 Oct
Wakazi 2,000 Bagamoyo kujengewa nyumba
WAKAZI 2,080 wa maeneo ya Pande na Mlingotini wametangaziwa neema ya kujengewa nyumba za kuishi baada ya maeneo yao kuchukuliwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.
9 years ago
StarTV08 Sep
Wakazi Ilolo waahidiwa kujengewa mradi wa maji
Changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji inayowakabili wakazi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imetajwa kubaki katika historia baada ya kuahidiwa ujenzi wa mradi mkubwa utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni mbili.
Kwa muda mrefu sasa, wakazi wa Jimbo la Kilolo hutumia muda mwingi kuipata huduma ya maji.
Ni hali ya kawaida kuiona mara tu ufikapo Ilula na katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika Wilaya ya Kilolo, shida ni namna ya upatikanaji wa huduma ya maji na kusababisha wakazi...
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
Waomba kituo maalumu cha watoto walemavu Buhangija kusaidiwa zahanati
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose Nyamubi mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo kabla ya kuelekea kwenye kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo mkoani Shinyanga.
Na mwandishi wetu, Shinyanga
MKUU wa wilaya ya Shinyanga AnneRose Nyamubi...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/DSC_0002.jpg)
WAOMBA KITUO MAALUMU CHA WATOTO WALEMAVU BUHANGIJA KUSAIDIWA ZAHANATI