Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwaruhombo waomba kujengewa wadi ya wazazi

Ridhiwani KikweteWANANCHI wa kijiji cha Kwaruhombo jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wametoa kilio cha kujengewa wadi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya cha Kwaruhombo ili wanawake wajawazito wasijifungue kwenye wadi za kawaida.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kamachumu waomba kujengewa nyumba

BAADHI ya wananchi wa Kata ya Ibuga, Tarafa ya Kamachumu, wilayani Muleba, Kagera, wanaomba msaada kwa Watanzania wenzao wa  kuwajengea nyumba  ili  waweze kujisitiri  baada ya nyumba zao  takriban 540...

 

10 years ago

StarTV

Wakazi Golimba Manyara waomba kujengewa Zahanati.

Na Zacharia Mtigandi,

Manyara.

Baadhi ya wakazi wanaoishi maeneo ya vijijini mkoani Manyara wanaopata huduma za matibabu kwa njia ya ndege wameiomba Serikali kuwajengea vituo vya afya na zahanati ili kuepusha vifo vinavyoweza kuepukika.

Wamesema utaratibu wa ndege kuwaletea dawa kila mwisho wa mwezi hauokoi maisha yao hasa kwa wagonjwa wanaougua magonjwa yanayohitaji matibabu ya haraka.

Wakati Serikali ikionyesha kupiga hatua kubwa katika sekta ya afya kwa kujenga hospitali, vituo vya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Ilemela waomba kujengewa kituo cha polisi

Kufuatia matukio ya uhalifu kujitokeza mara kwa mara Kata ya Buswelu, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza, baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameitaka polisi kuwajengea kituo na kuimarisha doria.

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua

Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.

Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.

 Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Chuo cha Biashara Dae-es-Salaam (CBE) Chatoa Msaada kwa Wadi za Wazazi na Watoto Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema akitoa maelezo kuhusu maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo katika hafla ya kukabidhi mashuka katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Zanzibar,...

 

11 years ago

Habarileo

Wazazi waomba viboko vitumike shuleni

WAZAZI wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi na Sekondari Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, wameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuendelea kutumia adhabu ya viboko kwa wanafunzi ili kudhibiti vitendo vya utovu wa nidhamu kwa wanafunzi.

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi waomba ada ya 3,000/- kufutwa

WAZAZI Pemba wameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuta ada ya Sh 3,000 ya kila mwaka kwa wanafunzi zaidi wale wanaoishi katika mazingira magumu kwani ndiyo chanzo cha wanafunzi kujiunga katika ajira ngumu na kuacha shule.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wazazi waomba Boko Haram kuwa na huruma

Wazazi wa wasichana wa shule waliotekwa nyara Nigeria wamewaomba wapiganaji wa Boko Haram kuwa na huruma na kuwaachilia watoto wao

 

11 years ago

Michuzi

Wazazi Shule ya Sekondari St. Anne Marie waomba watoto wao waruhiswe kufanya mtihani wa Mock kidato cha Sita

Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi. Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani