Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Ilemela waomba kujengewa kituo cha polisi

Kufuatia matukio ya uhalifu kujitokeza mara kwa mara Kata ya Buswelu, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza, baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameitaka polisi kuwajengea kituo na kuimarisha doria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe kufanya kazi saa 24

WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi wanaohudumiwa na kituo hicho hasa wajawazito.
Kauli za ombi hilo zimetolewa hivi karibuni kwa nyakati tofauti na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na mwandishi wa habari hizi katika vijiji vyao alipowatembelea kuangalia changamoto anuai za huduma za kijamii vijijini Kata ya Tembela.
Mwenyekiti wa Kijiji cha...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WAOMBA KITUO CHA AFYA SIMAMBWE KUFANYA KAZI SAA 24‏

Ofisa Mtendaji wa Kata ya Tembela, Elias Kalinga akifanya mahojiano na Thehabari.com hivi karibuni. Sehemu ya jengo la kituo cha Afya Simambwe. Tembela, Mbeya
WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha…

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI

JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.

Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.

Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi wavamia kituo cha polisi

POLISI wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamelazimika kutumia mabomu na risasi za moto ili kuwanusuru askari wawili wasiuawe baada ya kuzuka ugomvi kati ya askari polisi wa Kituo cha Lukumbule na wananchi wa vijiji vya Lukumbule na Mchesi.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI BUNJU WACHOMA KITUO CHA POLISI

Kituo cha Polisi Bunju B kikiteketea baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira kali. Moshi mkubwa kutoka eneo hilo la kituo. Baadhi ya wakazi wa Bunju leo wamevamia na kukichoma moto Kituo cha Polisi Bunju A baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliofunga barabara baada ya mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi ya Bunju A kugongwa gari na kufariki leo asubuhi. Polisi… ...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamachumu waomba kujengewa nyumba

BAADHI ya wananchi wa Kata ya Ibuga, Tarafa ya Kamachumu, wilayani Muleba, Kagera, wanaomba msaada kwa Watanzania wenzao wa  kuwajengea nyumba  ili  waweze kujisitiri  baada ya nyumba zao  takriban 540...

 

10 years ago

Habarileo

Kwaruhombo waomba kujengewa wadi ya wazazi

Ridhiwani KikweteWANANCHI wa kijiji cha Kwaruhombo jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani wametoa kilio cha kujengewa wadi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya cha Kwaruhombo ili wanawake wajawazito wasijifungue kwenye wadi za kawaida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani