Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WAOMBA KITUO CHA AFYA SIMAMBWE KUFANYA KAZI SAA 24‏

Ofisa Mtendaji wa Kata ya Tembela, Elias Kalinga akifanya mahojiano na Thehabari.com hivi karibuni. Sehemu ya jengo la kituo cha Afya Simambwe. Tembela, Mbeya
WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe kufanya kazi saa 24

WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi wanaohudumiwa na kituo hicho hasa wajawazito.
Kauli za ombi hilo zimetolewa hivi karibuni kwa nyakati tofauti na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na mwandishi wa habari hizi katika vijiji vyao alipowatembelea kuangalia changamoto anuai za huduma za kijamii vijijini Kata ya Tembela.
Mwenyekiti wa Kijiji cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe

Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi. Kushoto ni mmoja wa manesi wa kituo.

Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi. Kushoto ni mmoja wa manesi wa kituo.

Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi.

Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi.

Sehemu ya jengo la Kituo cha Afya Simambwe, likitoa huduma.

Sehemu ya jengo la Kituo cha Afya Simambwe, likitoa huduma.

Mbeya Vijijini 

BAADHI ya akinamama na wanakijiji wa baadhi ya vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya...

 

11 years ago

GPL

WAJAWAZITO WALALAMIKIA ‘RUSHWA’ KITUO CHA AFYA SIMAMBWE

Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi (hayupo pichani). Kushoto ni mmoja wa manesi wa kituo. Sehemu ya jengo la Kituo cha Afya Simambwe, kikitoa…

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Ilemela waomba kujengewa kituo cha polisi

Kufuatia matukio ya uhalifu kujitokeza mara kwa mara Kata ya Buswelu, wilayani Ilemela, mkoani Mwanza, baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameitaka polisi kuwajengea kituo na kuimarisha doria.

 

10 years ago

GPL

WAOMBA KITUO MAALUMU CHA WATOTO WALEMAVU BUHANGIJA KUSAIDIWA ZAHANATI‏

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose Nyamubi mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo kabla ya kuelekea kwenye kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo mkoani Shinyanga. Na mwandishi...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AZINDUA KITUO CHA AFYA WILAYA YA KITETO, AWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akizindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akipiga makofi baada ya kuzindua Kituo cha Afya Sunya, kilichopo wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo akiongea na watumishi Kituo...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24

Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

11 years ago

GPL

KCB YAKABIDHI VIFAA VYA HOSPITALI KITUO CHA AFYA KOMBENI‏

Meneja wa Benki ya KCB, Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma (kulia) akikabidhi vifaa vya Hospitali kwa kituo cha afya cha Kombeni kilichopo wilaya ya Magharibi kwa Daktari wenye dhamana ya wilaya hiyo, Lela Salim Juma, jana.
Meneja wa Benki ya KCB Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma akiongea kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali ya Kituo cha Afya cha Kombeni, kilichopo wilaya ya Magharibi, Zanzibar. Vifaa hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani