MBEYA CITY YACHARUKA ISHU YA KOCHA WAO KUJENGEWA NYUMBA NA AZAM FC
Kikosi cha timu ya Mbeya City FC. MBEYA CITY COUNCIL FOOTBALL CLUB Mbeya FC TAARIFA KWA UMMA UPOTOSHAJI UNAOTOLEWA DHIDI YA TIMU YETU KUELEKEA MCHEZO WA TAREHE 13/4/2014 Kwanza nachukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati wapenzi wote wa mchezo wa mpira wa miguu na wapenzi wa Mbeya City Fc popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao muda wote wa michezo ya ligi kuu inayoelekea ukingoni hivi sasa.Klabu inathamini nafasi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04avzhEoUjpCw-HS579DXn1G8f34OWQZ74OVPNhY*EifLAfoL5DqwYEnVSA3Kto*WjiCcOvCEJG6*nyttvLmrZNgY/AZAMFC2.jpg?width=650)
AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA
9 years ago
Bongo510 Dec
Swansea City yamtimua kocha wao Garry Monk
![2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082-300x194.jpg)
Klabu ya Swensea City hatimaye imemtimua kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 ambayo ameingoza Swansea kwenye ligi ya England msimu huu.
Kocha huyo mwenye miaka 36 ameitumikia klabu hiyo zaidi ya miaka 11 akianza kama mchezaji lakini baadaye mwaka 2014 akakabidhiwa timu hiyo kama kocha mkuu akichukua nafasi ya Michael Laudrup.
Kufuatia kipigo cha Jumamosi iliyopita cha magoli 3-0 dhidi ya Leicester City ulikuwa ndio mchezo wake wa mwisho kama kocha na ameiacha...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mashabiki Mbeya City wamlilia kocha
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Kocha wa Yanga aizimia Mbeya City
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kPWAOYVbPQbUv-OpJ7JelI6ETr0qGoyEnL1-y*x0QpYQzEX8zrI3Q-3wjL8bX7QfzYrOEzFekG1tQ2ubCMNqr8htVPZinTD6/mbeya.jpg)
Mbeya City yamtimua kocha Simba
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Matokeo yamchanganya kocha Mbeya City
9 years ago
Habarileo31 Dec
Kocha kuimarisha ushambuliaji Mbeya City
KOCHA wa Mbeya City, Abdul Mingange amesema atatumia mapumziko ya sasa kulifanyia kazi suala la umaliziaji katika kikosi hicho.