Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Swansea City yamtimua kocha wao Garry Monk

2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082

Klabu ya Swensea City hatimaye imemtimua kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 ambayo ameingoza Swansea kwenye ligi ya England msimu huu.

2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082

Kocha huyo mwenye miaka 36 ameitumikia klabu hiyo zaidi ya miaka 11 akianza kama mchezaji lakini baadaye mwaka 2014 akakabidhiwa timu hiyo kama kocha mkuu akichukua nafasi ya Michael Laudrup.

Kufuatia kipigo cha Jumamosi iliyopita cha magoli 3-0 dhidi ya Leicester City ulikuwa ndio mchezo wake wa mwisho kama kocha na ameiacha...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Garry Monk atupiwa virago Swansea City

Klabu ya Swansea City imemtupia virago kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 kwenye ligi ya England .

 

9 years ago

Bongo5

Klabu ya Aston Villa yamtimua kocha wao Tim Sherwood

Klabu ya Aston Villa imemtimua kazi kocha wake Tim Sherwood baada ya kushika wadhifa huo kwa miezi minane tu. Sherwood alipoteza mechi katika ligi kuu ya England kwa kuchapwa na Swansea kwa mabao 2-1. Kocha wa timu ya vijana chini ya miaka 21 wa Aston Villa, Kevin MacDonald, ndiye atakayeshika umeneja kwa muda mpaka atakapopatikana […]

 

10 years ago

GPL

Mbeya City yamtimua kocha Simba

Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola. Martha Mboma na Sweetbert Lukonge
KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, ameomba kuondoka klabuni hapo ikiwa ni siku chache tangu timu hiyo ilipofungwa na Mbeya City mabao 2-1 katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Matola ambaye alianza kuifundisha timu hiyo msimu uliopita akisaidiana na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Zdravko Logarusic, ameomba kuondoka baada ya...

 

10 years ago

BBC

Bony move 'right' for Swansea - Monk

Swansea manager Garry Monk says Wilfried Bony's move to Man City, worth up to £28m, was a good deal for Swansea.

 

11 years ago

Mwananchi

Swansea yamtimua Laudrup

Klabu ya Swansea imemtimua kocha wao, Michael Laudrup na kuamua kumkabidhi timu nahodha wa klabu hiyo, Garry Monk aiongoze katika mechi ya Jumamosi dhidi ya Cardiff.

 

11 years ago

GPL

MBEYA CITY YACHARUKA ISHU YA KOCHA WAO KUJENGEWA NYUMBA NA AZAM FC

Kikosi cha timu ya Mbeya City FC. MBEYA CITY COUNCIL FOOTBALL CLUB
Mbeya FC
TAARIFA KWA UMMA UPOTOSHAJI UNAOTOLEWA DHIDI YA TIMU YETU KUELEKEA MCHEZO WA TAREHE 13/4/2014
Kwanza nachukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati wapenzi wote wa mchezo wa mpira wa miguu na wapenzi wa Mbeya City Fc popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao muda wote wa michezo ya ligi kuu inayoelekea ukingoni hivi sasa.Klabu inathamini nafasi ya...

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAMTIMUA KOCHA WAKE

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana jioni wakati akitoa taarifa ya kumfuta kazi kocha aliyekuwa akiinoa timu hiyo,Zdravko Logarusic 'Loga' (hayupo pichani). Wengine pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba, Collin Frisch na Saidi Tully. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Simba, Collin Frisch (kulia), akimsindikiza kwenda kupanda gari kocha wa timu hiyo Zdravko Logarusic...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aston Villa yamtimua Kocha wake

Aston Villa imemtimua Kocha wake Paul Lambert baada ya kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi kuu England

 

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC YAMTIMUA KOCHA BAADA YA KIPIGO CHA UGENINI

Na Bertha Lumala, Dar es Salam Kipigo cha mabao 3-0 ugenini dhidi ya El-Merrikh ya Sudan, kimemponza kocha Joseph Omog baada ya uongozi wa Azam FC kuamua kumtimua.
Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wa facebook wa Azam FC muda mfupi uliopita, Uongozi wa Azam FC umetangaza kumtimua raia huyo wa Cameroon.
Taarifa hiyo inasomeka: “Uongozi wa Azam FC unatangaza kuachana na kocha wake mkuu Joseph Omog baada ya kuwa naye kwa miezi 14.
Omog aliyeipa Azam FC ubingwa wa kwanza msimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani