Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Swansea yamtimua Laudrup

Klabu ya Swansea imemtimua kocha wao, Michael Laudrup na kuamua kumkabidhi timu nahodha wa klabu hiyo, Garry Monk aiongoze katika mechi ya Jumamosi dhidi ya Cardiff.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Laudrup afutwa kazi na Swansea

Uvumi wasambaa kuhusu hatma ya Laudrup baada ya Swansea kushindwa 2-0 na West Ham .

 

9 years ago

Bongo5

Swansea City yamtimua kocha wao Garry Monk

2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082

Klabu ya Swensea City hatimaye imemtimua kocha wake Garry Monk baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11 ambayo ameingoza Swansea kwenye ligi ya England msimu huu.

2F2C01D600000578-3353199-image-a-5_1449698720082

Kocha huyo mwenye miaka 36 ameitumikia klabu hiyo zaidi ya miaka 11 akianza kama mchezaji lakini baadaye mwaka 2014 akakabidhiwa timu hiyo kama kocha mkuu akichukua nafasi ya Michael Laudrup.

Kufuatia kipigo cha Jumamosi iliyopita cha magoli 3-0 dhidi ya Leicester City ulikuwa ndio mchezo wake wa mwisho kama kocha na ameiacha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Esperance yamtimua Krol

Esperance yamtimua kocha Krol baada ya kushindwa katika ligi ya vilabu bingwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Villa yamtimua Sherwood

Klabu ya soka ya Aston Villa imemfukuza kazi Meneja wake Tim Sherwood

 

10 years ago

BBCSwahili

Gambia yamtimua mwakalishi wa EU

Serikali ya Gambia imemtimua mwakilishi wa muungano wa Ulaya Agnès Guillaud kutoka nchini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

JWTZ yamtimua kazi askari

Jeshi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha nchi kavu, limemfukuza kazi askari wake wa Kikosi 128 KJ cha Nyandoto, baada ya kudaiwa kuhusika katika tukio la kurushiana risasi na Polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime.

 

10 years ago

StarTV

Zimbabwe:ZANU-PF yamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

Chama hicho kinasema alipanga njama za kumuondoa mamlakani rais Robert Mugabe mbali na kukiharibia jina chama hicho- madai ambayo ameyakana hapo mbeleni .

Bi Mujuru alipigana vita vya Guerilla pamoja na Mugabe miaka ya sabini dhidi ya uongozi wa weupe na alionekana kama mrithi wake,kabla ya kukosana naye mwaka uliopita swala lililomfanya kufutwa kazi kama makamu wa rais mnamo mwezi...

 

10 years ago

CloudsFM

Yanga SC yamtimua rasmi Maximo.

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa ameshiriki katika mechi tisa tu za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sunderland yamtimua Gus Poyet

Klabu ya ligi kuu ya Uingereza Sunderland imemtimua Gus Poyet kufuatia msururu wa matokeo duni

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani