JWTZ yamtimua kazi askari
Jeshi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha nchi kavu, limemfukuza kazi askari wake wa Kikosi 128 KJ cha Nyandoto, baada ya kudaiwa kuhusika katika tukio la kurushiana risasi na Polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru NewspaperAskari wanaswa na sare za JWTZ
Wakutwa na mamilioni ya noti bandia
Na Chibura Makorongo, SimiyuASKARI wa Jeshi la Polisi na Magereza, wametiwa mbaroni kwa kukutwa na noti bandia pamoja na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Askari JWTZ auawa, anyofolewa viungo
Na Shomari Binda, Musoma
ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 27 Makoko kilichopo Musoma, Praiveti Wilfred Koko amekutwa ameuawa na kuondolewa sehemu ya viungo vya mwili katika eneo la kikosi hicho.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoani Mara ilisema askari huyo MT-78227, aliokotwa katika eneo la jeshi Januari 30, mwaka huu saa sita mchana mwili wake ukiwa hauna baadhi ya viungo ukiweamo mguu wa kulia, viganja vya mikono yote na sehemu za siri.
Kaimu Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo07 Mar
Askari feki JWTZ jela miaka 3
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mwanamume aliyejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kufanya utapeli.
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Askari wa JWTZ watakaowapiga raia kukiona
10 years ago
Habarileo07 May
Waasi waua askari wawili wa JWTZ
WANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
JWTZ liwatimue askari wake wanaolidhalilisha
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Askari JWTZ waaswa kuzingatia mafunzo
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili
10 years ago
Habarileo31 Aug
Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji
ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.