Askari wa JWTZ watakaowapiga raia kukiona
>Uongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), umesema utawafukuza kazi askari wote watakaojihusisha na vitendo vya utovu wa nidhamu ikiwamo kuwapiga raia wanaokosana nao mitaani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xCeppzYup0o/XsFAlUST_1I/AAAAAAALqkQ/RVfTu3yt7qYvz8TrND6SVoQ-OEiQAU1_ACLcBGAsYHQ/s72-c/wanafunzi-wakijilinda-poliniAAAA-768x512.jpg)
ASKARI JWTZ WATAKIWA KULINDA MIPAKA NA RAIA KWA NGUVU NA GHARAMA YEYOTE
![](https://1.bp.blogspot.com/-xCeppzYup0o/XsFAlUST_1I/AAAAAAALqkQ/RVfTu3yt7qYvz8TrND6SVoQ-OEiQAU1_ACLcBGAsYHQ/s640/wanafunzi-wakijilinda-poliniAAAA-768x512.jpg)
Baadhi ya Askari wanafunzi wa Shule ya Aawali ya Mafunzo ya Kijeshi RTS Kihangaiko wakiwa katika eneo la mapigano wakati wa zoezi Maliza msata bagamoyo Mkoani Pwani .
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/wanafunzi-wakikimbia-na-kifaruAAAA.jpg)
Baadhi ya Askari NA wanafunzi Kuruta wa Shule ya Aawali ya Mafunzo ya Kijeshi RTS Kihangaiko wakikimbia na na kifaru wakati wa zoezi Maliza msata bagamoyo Mkoani Pwani .
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/kanali-myala-na-wanafunziAAA-1024x473.jpg)
Mkuu wa shule ya Kihangaiko Kanali Sijaona Myala katikati akishangilia na Kuruti mara baada ya kumaliza zoezi la Mwisho kwa Kuruti hao katika pori la Msata...
10 years ago
Mwananchi06 Oct
JWTZ yamtimua kazi askari
10 years ago
Uhuru NewspaperAskari wanaswa na sare za JWTZ
Wakutwa na mamilioni ya noti bandia
Na Chibura Makorongo, SimiyuASKARI wa Jeshi la Polisi na Magereza, wametiwa mbaroni kwa kukutwa na noti bandia pamoja na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
11 years ago
Habarileo07 Mar
Askari feki JWTZ jela miaka 3
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mwanamume aliyejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kufanya utapeli.
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Askari JWTZ auawa, anyofolewa viungo
Na Shomari Binda, Musoma
ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 27 Makoko kilichopo Musoma, Praiveti Wilfred Koko amekutwa ameuawa na kuondolewa sehemu ya viungo vya mwili katika eneo la kikosi hicho.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoani Mara ilisema askari huyo MT-78227, aliokotwa katika eneo la jeshi Januari 30, mwaka huu saa sita mchana mwili wake ukiwa hauna baadhi ya viungo ukiweamo mguu wa kulia, viganja vya mikono yote na sehemu za siri.
Kaimu Kamanda wa...
10 years ago
Habarileo07 May
Waasi waua askari wawili wa JWTZ
WANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
JWTZ liwatimue askari wake wanaolidhalilisha
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Askari JWTZ waaswa kuzingatia mafunzo
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili