Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waasi waua askari wawili wa JWTZ

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonWANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili

Polisi Mkoa wa Ilala inamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha meja wa Kikosi Miguu Kibaha kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwapiga risasi vijana wawili wakazi wa eneo la Pugu Kinyamwezi, wakati wa shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waasi waua 38 Mashariki mwa Congo

Watu 38 waliuawa hapo jana katika makabiliano kati ya majeshi ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na wanamgambo wa kiislamu kutoka Uganda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko waua viongozi wa waasi Syria

Viongozi 50 wa kundi la waasi wa Syria wameuawa au kujeruhiwa katika shambulio la kujitoa mhanga.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi waua watu 1000 Afrika ya Kati

Waasi wamewaua watu wapatao elfu moja katika Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mapigano ya siku mbili mwezi huu.

 

10 years ago

Habarileo

Vibaka waua askari, wauawa

WATU watano wanasadikiwa kuwa wamekufa baada ya kuibuka kwa vurugu zinazohusishwa na vibaka katika eneo la Mbagala Kongowe Mzinga katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam. Polisi wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ingawa hawakutoa taarifa kamili kwa kuhofia kuharibu uchunguzi na kuahidi kuwa watatoa taarifa kamili ya vurugu hizo leo.

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ yamtimua kazi askari

Jeshi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha nchi kavu, limemfukuza kazi askari wake wa Kikosi 128 KJ cha Nyandoto, baada ya kudaiwa kuhusika katika tukio la kurushiana risasi na Polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Askari wanaswa na sare za JWTZ



Wakutwa na mamilioni ya noti bandia

Na Chibura Makorongo, SimiyuASKARI wa Jeshi la Polisi na Magereza, wametiwa mbaroni kwa kukutwa na noti bandia pamoja na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Kamanda Charles MkumboAskari hao ni Konstebo Seleman Juma (25) wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Simiyu na Edmund Masaga (28), ambaye ni askari Magereza wilayani Bariadi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo, alisema askari hao walitiwa mbaroni juzi saa 9:00 alasiri...

 

11 years ago

Habarileo

Askari feki JWTZ jela miaka 3

MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mwanamume aliyejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kufanya utapeli.

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ watakaowapiga raia kukiona

>Uongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), umesema utawafukuza kazi askari wote watakaojihusisha na vitendo vya utovu wa nidhamu ikiwamo  kuwapiga raia wanaokosana nao mitaani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani