Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vibaka waua askari, wauawa

WATU watano wanasadikiwa kuwa wamekufa baada ya kuibuka kwa vurugu zinazohusishwa na vibaka katika eneo la Mbagala Kongowe Mzinga katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam. Polisi wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ingawa hawakutoa taarifa kamili kwa kuhofia kuharibu uchunguzi na kuahidi kuwa watatoa taarifa kamili ya vurugu hizo leo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waasi waua askari wawili wa JWTZ

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonWANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari watatu wa AU wauawa Somalia

Jeshi la kulinda amani la Umoja wa Afrika nchini Somalia limesema askari wake watatu wameuawa nchini Somalia

 

11 years ago

BBCSwahili

Askari watano wauawa Libya

Watu wenye silaha wameshambulia makao makuu ya jeshi la usalama na kuua askari watano mjini Benghazi, Libya

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari 15 wa Misri wauawa barabarani

Misri imesema kuwa mtu mmoja aliyekuwa na silaha amewaua askari kumi na watano katika shambulio la kizuizi cha barabarani.

 

5 years ago

CCM Blog

ASKARI 7 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI AFGHANISTAN

  Askari 7 wameuawa katika shambulizi la silaha lililotekelezwa na wanamgambo wa Taliban katika kituo cha jeshi magharibi mwa Afghanistan.

Wizara ya Ulinzi imetangaza kwamba wanamgambo walishambulia kituo cha jeshi katika kijiji cha Akazi wilayani Bala Murgab.

Imeelezwa kuwa askari 7 wamepoteza maisha yao na askari 5 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo.

Hata hivyo, inasemekana kuwa Taliban nao wamepoteza idadi kubwa ya wanamgambo wao wakati wa shambulizi hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari na Waasi wauawa kwa Bomu Syria

Waasi nchini Syria na askari wa usalama wameripotiwa kuuawa katika mapigano katika mji ulio kaskazini mwa Nchi hiyo, Aleppo.

 

11 years ago

Mwananchi

Machafuko nje; askari 9 wa JWTZ wauawa vitani 2013

>Itakumbukwa Tanzania ilishiriki katika kuondoa machafuko katika nchi mbalimbali hasa DRC Kongo, Sudan na Sudan Kusini kutokana na azimio la Umoja wa mataifa la kulinda amani katika mataifa yenye machafuko ya amani namba 6&7.

 

10 years ago

Mtanzania

Askari wawili wauawa, SMG 10, risasi na mabomu vyaporwa

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

NA PETER MAKUNGA, BUKOMBE

HOFU ya usalama wa raia na mali zao imetanda baada ya askari polisi wawili kuuawa na bunduki 10 aina ya SMG kuporwa katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayani hapa.

Uporaji huo umefanywa na watu ambao hawajafahamika baada ya kuvamia kituo hicho saa 9:45 alfajiri na kuwashambulia askari polisi waliokuwa zamu ambapo wawili waliuawa na wengine watatu walijeruhiwa.

Mbali na kupora SMG 10, pia inadaiwa wamefanikiwa kupora risasi...

 

10 years ago

GPL

ASKARI WANANE WA IRAQ WAUAWA KWA KUWAPELELEZA ISIS

Mateka wakiwa wamepigishwa magoti tayari kwa kuuawa. Mateka wakipelekwa sehemu ya kuadhibiwa kwa ujasusi dhidi ya ISIS.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani