Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari feki JWTZ jela miaka 3

MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mwanamume aliyejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kufanya utapeli.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Trafiki feki jela miaka 6

ALIYEJIFANYA Askari Polisi wa Usalama Barabarani, James Hassan (54) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na sare za Polisi na kujifanya mtumishi wa jeshi hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Askari majambazi jela miaka 30

MAHAKAMA ya Mkoa wa Mbeya imewahukumu watu watano wakiwemo askari wawili wa polisi na magereza kwenda jela miaka 30 kila mmoja kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Askari wanaswa na sare za JWTZ



Wakutwa na mamilioni ya noti bandia

Na Chibura Makorongo, SimiyuASKARI wa Jeshi la Polisi na Magereza, wametiwa mbaroni kwa kukutwa na noti bandia pamoja na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Kamanda Charles MkumboAskari hao ni Konstebo Seleman Juma (25) wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Simiyu na Edmund Masaga (28), ambaye ni askari Magereza wilayani Bariadi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo, alisema askari hao walitiwa mbaroni juzi saa 9:00 alasiri...

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ yamtimua kazi askari

Jeshi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha nchi kavu, limemfukuza kazi askari wake wa Kikosi 128 KJ cha Nyandoto, baada ya kudaiwa kuhusika katika tukio la kurushiana risasi na Polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime.

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ watakaowapiga raia kukiona

>Uongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), umesema utawafukuza kazi askari wote watakaojihusisha na vitendo vya utovu wa nidhamu ikiwamo  kuwapiga raia wanaokosana nao mitaani.

 

10 years ago

Mtanzania

Askari JWTZ auawa, anyofolewa viungo

Na Shomari Binda, Musoma

ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 27 Makoko kilichopo Musoma, Praiveti Wilfred Koko amekutwa ameuawa na kuondolewa sehemu ya viungo vya mwili katika eneo la kikosi hicho.

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoani Mara ilisema askari huyo MT-78227, aliokotwa katika eneo la jeshi Januari 30, mwaka huu saa sita mchana mwili wake ukiwa hauna baadhi ya viungo ukiweamo mguu wa kulia, viganja vya mikono yote na sehemu za siri.

Kaimu Kamanda wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari JWTZ waaswa kuzingatia mafunzo

Askari na maofisa wa Kamandi ya Anga ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametakiwa kuzingatia mafunzo wanayopewa kwani yanawaweka tayari kukabilina na majukumu makubwa yanayoweza kutokea nchini na kimataifa.

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ liwatimue askari wake wanaolidhalilisha

Tukio la wiki iliyopita ambapo kundi la askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), lilirushiana risasi na polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime, mkoani Mara ni la kushangaza na la kusikitisha.

 

10 years ago

Habarileo

Waasi waua askari wawili wa JWTZ

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonWANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani