Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili

Polisi Mkoa wa Ilala inamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha meja wa Kikosi Miguu Kibaha kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwapiga risasi vijana wawili wakazi wa eneo la Pugu Kinyamwezi, wakati wa shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mbaroni akituhumiwa kuua Polisi

MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumkamatammoja wa watuhumiwa hatari wa mauaji ya askari Poli-si mmoja na askari mgambo katika kituo cha polisi Kimanzichana Mkuranga Mkoani Pwani.

 

10 years ago

Habarileo

Waasi waua askari wawili wa JWTZ

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonWANAJESHI wawili wa Tanzania ambao wako kwenye jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameuawa katika vita na waasi wa eneo hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari

JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa kuteka magari

>Askari mwenye cheo cha sajini katika  Gereza la Ruanda na polisi mwenye cheo cha konstebo  katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya, wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa kuteka gari  na kupora  fedha na mali  katika eneo la Mlima wa Kawetere, Barabara ya Mbeya-Chunya, juzi jioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni akituhumiwa kulawiti mtoto

POLISI mkoani Kagera inamshikilia mkazi wa Manispaa ya Bukoba, Jovin Kasuno (22) kwa tuhuma za kulawiti mtoto mwenye umri wa miaka sita na kumuumiza.

 

11 years ago

Mwananchi

Binti mbaroni akituhumiwa kutupa mtoto

Mkazi wa Kijiji cha Namibu wilayani Bunda, Adventina Makongo (17) jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo kujibu shtaka la kutupa mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kichakani.

 

11 years ago

GPL

MEJA JWTZ ADAIWA KUUA MADENTI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MKESHA wa Mwaka Mpya (2014) ulikuwa ni kilio, huzuni na majonzi kwa wakazi wa Pugu Kwamustafa, Ilala jijini Dar es Salaam kufuatia Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Rashid Musa (43) kudaiwa kuwaua kwa kuwapiga risasi hadi kufa madenti wawili na wengine watatu kujeruhiwa wakati wakisherehekea mwaka. Madenti waliouawa ni Ibrahim Mohamed (16), wa kidato cha tatu na...

 

11 years ago

Mwananchi

JWTZ yamtimua kazi askari

Jeshi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha nchi kavu, limemfukuza kazi askari wake wa Kikosi 128 KJ cha Nyandoto, baada ya kudaiwa kuhusika katika tukio la kurushiana risasi na Polisi wa Kituo cha Stendi, wilayani Tarime.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani